Frey Cosseny
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 1,984
- 1,409
Hivi ingetokea mwanahalisi waandike Ben Saanane katekwa na Serikali Bavicha Leo mngechoma gazeti la mwanahalisi?
Je haya matusi mnayomuagia Mitandaoni mh Saed Kubenea mngeyatoa?
Leo Saed Kubenea amekuwa Mmbaya kwa kuwaumbua na biashara ya T-shirt imeharibika na Mkakati wa kutafuta pesa kutumia jina la Ben Saanane imetibuliwa na mwanahalisi.
Siku zote mliona mwanahalisi Ndiyo gazeti bora kwakuwa ilikuwa inapotosha umma kwa kutumia black propaganda lakini mliishabikia na kumwita Kubenea shujaa.
Mkiambiwa nyie ni sawa na Nyumbu mnafuata Mkumbo mnakasirika Ngoja liwashuke Kama tenzi dume.
Asante Saed Kubenea kwa kuweka mambo adharani na kuumbua movie kabla haijakamilika.
[HASHTAG]#MboweMrudisheBenSaananeAkiwaHai[/HASHTAG]