tentemente
Senior Member
- May 30, 2015
- 149
- 138
Anaongea siasa tu.
Ramani ua Mabasi ya kasi pale Ubungo hai support kuwepo kwa stand ya mabasi ya mikoani. Lile daraja liliwekwa ili watu wa viwandani huku tanesco,chibuku,tbl maziwa nk waweze kuvuka kama daraja la Manzese.
Stand inatakiwa iwe Mbezi Mwisho kwa mabasi ya nyanda za juu kusini na Tegeta kwa mabasi ya kaskazini.
Baadae mbezi mwisho kukijakuwa kama ubungo utasema bus stand ihamie chalinze.
Tumia kiakili kidoogo tu