njiwa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 13,259
- 7,108
Wenye CDM tunajua bado ipo
hahahahaha!! mkuuu CDM ni ya LOWASSA SASA... Yaani ni kama Toy lake anaifanya anavotaka..!! stuka!! mbowe alishafika bei kitambo sana...
Wenye CDM tunajua bado ipo
alisema atayafanya haraka sana .Na alitoa kwa muda gani kuanza
Kutekeleza hayo
swadakta , huyu mtu ni jasiri aliyetukuka .Ongeeni sana lakini Kubenea ni mtu jasiri katika nchi hii
nitajie faida mbili tu za uongo ulizopata tangu uanze kuongopa .
hahahahaha!! mkuuu CDM ni ya LOWASSA SASA... Yaani ni kama Toy lake anaifanya anavotaka..!! stuka!! mbowe alishafika bei kitambo sana...
nitajie faida mbili tu za uongo ulizopata tangu uanze kuongopa .
Bado swali langu liko pale pale, kaweza kuwashawishi wakazi wa Ubongo wakampa kura kwa kishindo. Wewe unatumia kigezo gani unaposema hawezi kuongea?!Kuandika ni tofauti na presentation. Kubenea amekosa hicho kwa sana. Inawezekana mtu akabisha ila ndo ukweli wake.
Hivi huyu jamaa alishaweka hadharani cheti cha kumaliza kidato cha nne? au alisha sema alisoma shule gani?huyu jamaa anatamani kuwa zito! inabdi akiri tu zitto ni role model wake ....
hana uwezo anafikiri bunge sawa na kuzungusha mikono?Akizungumza na gazeti la Nipashe jana, mbunge huyo ambaye pia ni tegemeo la wananchi ametaja sababu kuu mbili zilizomsukuma kuchukua hatua hiyo;
Ya kwanza ni kutaka kujua mmiliki halali wa fedha hizo kati ya IPTL na UMMA.
Sababu nyingine amesema ni kutaka kuchukuliwa hatua kali sana dhidi ya wahusika wote wa sakata hilo ili iwe fundisho kwa wengine.
My take - kama nchi hii ikipata wabunge wengine kadhaa wenye uzalendo wa kiwango cha huyu Mh Kubenea nakuhakikishia nchi hii itapiga hatua kubwa sana.
Kila la heri Mheshimiwa.
Hivi huyu jamaa alishaweka hadharani cheti cha kumaliza kidato cha nne? au alisha sema alisoma shule gani?
Huyu jamaa anatafuta kiki kwa nguvu zote.alisoma hapa na pale ... kwa hiyo ana elimu ya hapa na pale.... hahaha... hiyo elimu ya hapa na pale ndio ataitumia kuchamua mikataba ya ESCROW .... Kiingereza cha wanasheria ..hahaha .. huyu jamaa ni comedy wallah
mkuu mwasita moja hoja hapa inahusu Mh Kubenea kufufua upya hoja ya escrow bungeni .Chadema ilikuwepo kabla ya Lowassa kuhama CCM, na tena ilikuwa ni chama imara, pendwa na chenye nguvu na ushawishi wa kutosha, hasa katika miji mikubwa ya Tanzania.
Hata Ukawa iliasisiswa kabla ya Lowassa kukatwa na kuhamia CDM. Kwa misingi hii hamna mtu anayeweza kuja na takwimu halisia eti bila Lowassa mambo yangekuwaje UKAWA?? Kama yupo azilete.
Hoja yangu ni hii;
Lowassa mpaka sasa amegeuza kila aina ya mafanikio ya UKAWA kuwa yake binafsi na kujinasibu kuwa yeye ndo ameyaleta. Amekuwa akijinasibu kwa kauli za kujisifia binafsi kana kwamba Chadema na Ukawa havikuepo na yeye ndo alikuja kiuasisi Chadema na muungano wa Ukawa.
Kauli za Lowassa zinakiweka chama mikononi mwake, na si mikononi mwa wanachama waliosumbuka kukijenga chama hiki kwa machozi, jasho, damu, vifo, njaa, na kudhalilishwa na Nguvu za Dola.
Mfano wa kauli za Lowassa;
1. "Nimewawezesha wapinzani kufikisha wabunge zaidi ya 100, tukiweka na viti maalum"
2. "Nimewasaidia kushikilia jiji la Dar es salaam"
3. "Nitagombea 2020, najiandaa na uchaguzi mkuu "
4. "Nimeufanya upinzani kuwa na nguvu kuliko wakati wowote"
Na nyingine nyingi zenye utata!
Swali ni je, kwanini hizi "nime" zisiwe "chama kime"? Halafu toka lini Lowassa amefuta taratibu za kumpata mgombea urais ndani ya chama na kujihakikishia nafasi ya kugombea uchaguzi mkuu 2020??
Lowassa apewe onyo, na afunzwe kuwa siasa ni collective and intergrated efforts na sio One man show or else mtwambie kama amekabidhiwa chama mikononi mwake, na lini ilifanyika hivyo.
wala hatazungusha hiyo mikono yenyewe , atakachofanya ni kuomba mwongozo na kuulizia wahusika wa escrow , baasi .hana uwezo anafikiri bunge sawa na kuzungusha mikono?
Tena akiingia kwa pupa bungeni wanaweza tia aibu.Nasubiria kwa hamu nione ujengaji wake wa hoja ndani ya dk 10 au dk 5........unaeza kuta ni mwaupe tu mithili ya Mmawia
Bungeni si limeshatoa maazimio yake muhimu ni kuulizia utekelezwaji wa maazimio ya bungeni.umesoma kilichomsukuma kubenea kufufua hii kitu ? moja ya sababu ni kutaka wahusika wachukuliwe hatua kali ili iwe fundisho kwa wengine .
je hela zile zilikuwa za UMMA au za IPTL ? na je wahusika wamechukuliwa hatua stahiki ? na je ni akina nani walilamba zile lumbesa za stanbic bank ? ukijibu maswali haya nampigia simu kubenea sasa hivi aache kufufua hii kitu .Bungeni si limeshatoa maazimio yake muhimu ni kuulizia utekelezwaji wa maazimio ya bungeni.
Asiwafanye zito na kafulila ngazi ya kupandia.
Simaanishi kubenea aache kufuatilia,je hela zile zilikuwa za UMMA au za IPTL ? na je wahusika wamechukuliwa hatua stahiki ? na je ni akina nani walilamba zile lumbesa za stanbic bank ? ukijibu maswali haya nampigia simu kubenea sasa hivi aache kufufua hii kitu .
Akizungumza na gazeti la Nipashe jana, mbunge huyo ambaye pia ni tegemeo la wananchi ametaja sababu kuu mbili zilizomsukuma kuchukua hatua hiyo;
Ya kwanza ni kutaka kujua mmiliki halali wa fedha hizo kati ya IPTL na UMMA.
Sababu nyingine amesema ni kutaka kuchukuliwa hatua kali sana dhidi ya wahusika wote wa sakata hilo ili iwe fundisho kwa wengine.
My take - kama nchi hii ikipata wabunge wengine kadhaa wenye uzalendo wa kiwango cha huyu Mh Kubenea nakuhakikishia nchi hii itapiga hatua kubwa sana.
Kila la heri Mheshimiwa.
Kubenea alikuwa ni mmoja wa waandishi wa gazeti lilikuwa linaongoza kwa mauzo Mwanahalisi. Sasa unaposema hana sauti ya kusema umetumia kigezo gani?