Kubenea kufufua upya sakata la Escrow bungeni

Kubenea kufufua upya sakata la Escrow bungeni

Ongeeni weeeee. Lakini ukweli utabaki kuwa tunahutaji kuiona Tanzania tunayoitazamia
Mkuu hata me ni nashangaa akili za watu wa humu ndani badala ya kuwa pamoja tuone vipi pesa yetu ilipigwa wenyewe wanaanza majungu ya kumpinga anayeenda KUTOA hoja bungeni,,, eti kisa elimu hivi yeye kubenea na waizi walioiba pesa yupi tum dharau
Dah kweli Africa tulilogwa
 
Kubenea afufue sakata la escrow kwa uwezo gani wa elimu aliyokuwa nayo? ? elimu ya hapa na pale? ??. mnachekesha. ataweza kusoma ile mikataba ya kiingereza iliyoingiwa. hataelewa na mwishowake atatia aibu tuu. aende kwanza atoe ushahidi wa maneno aliyoandika kwenye gazeti la Mawio ili gazeti lifunguliwe. kaambiwa alete ushahidi akaingia mitini.
HIVI kwa mfano nikuulize dwali
Kubenea na waizi wa ESCROW yupi anatakiwa aonekane mbaya kipindi HICHI
HIVI kweli mambo ya ufisad ni ya kufrahia jaman ivi kweli yana hitaji muwe na roho mbaya hivo kumsema kubenea badala ya kusikitikia walioiba
Khaaaa
 
Akizungumza na gazeti la Nipashe jana, mbunge huyo ambaye pia ni tegemeo la wananchi ametaja sababu kuu mbili zilizomsukuma kuchukua hatua hiyo;

Ya kwanza ni kutaka kujua mmiliki halali wa fedha hizo kati ya IPTL na UMMA.

Sababu nyingine amesema ni kutaka kuchukuliwa hatua kali sana dhidi ya wahusika wote wa sakata hilo ili iwe fundisho kwa wengine.

My take - kama nchi hii ikipata wabunge wengine kadhaa wenye uzalendo wa kiwango cha huyu Mh Kubenea nakuhakikishia nchi hii itapiga hatua kubwa sana.

Kila la heri Mheshimiwa.
mbona rahisi ,akitaka kujua mmiliki halali amuulize kwanza mzee wa Richmond maana huyu ndie aliyesababisha mchakato wa haya mambo ya umeme yaanze. yeye sasa atampa history. lakini ninachojua Kubenea kwa elimu yake ya hapa na pale hawezi elewa haya mambo. kwa sababu anakwenda na majibu aliyolishwa kichwani. hata ukikokotoa vipi kutenga kodi ma pesa ya mwekezaji hata elewa. yeye anachojua ni kwamba pesa ni ya umma. fullstop. hivo ndivyo alivyomezeshwa
 
Kubenea afufue sakata la escrow kwa uwezo gani wa elimu aliyokuwa nayo? ? elimu ya hapa na pale? ??. mnachekesha. ataweza kusoma ile mikataba ya kiingereza iliyoingiwa. hataelewa na mwishowake atatia aibu tuu. aende kwanza atoe ushahidi wa maneno aliyoandika kwenye gazeti la Mawio ili gazeti lifunguliwe. kaambiwa alete ushahidi akaingia mitini.
unataka ushahidi gani ili kujua uwezo wa kubenea , mtu pekee aliyefichua bila ukungu sakata la ulimboka , halafu kiingereza si kitu kwa kubenea , anaongea vizuri kuliko viongozi wengi sana nchi hii , hata hivyo hatumuamini kwa ujuzi wake kwenye kiingereza , la hasha , bali anaaminika kutokana na uzalendo na ufia nchi wake .
 
namwombea heri ila kwa kadiri nnavyomwona, naona ana mihemuko ambayo inamsumbua na huenda hoja zake nyingi zikaishia kwenye kiti cha ndugai tuu
 
Akizungumza na gazeti la Nipashe jana, mbunge huyo ambaye pia ni tegemeo la wananchi ametaja sababu kuu mbili zilizomsukuma kuchukua hatua hiyo;

Ya kwanza ni kutaka kujua mmiliki halali wa fedha hizo kati ya IPTL na UMMA.

Sababu nyingine amesema ni kutaka kuchukuliwa hatua kali sana dhidi ya wahusika wote wa sakata hilo ili iwe fundisho kwa wengine.

My take - kama nchi hii ikipata wabunge wengine kadhaa wenye uzalendo wa kiwango cha huyu Mh Kubenea nakuhakikishia nchi hii itapiga hatua kubwa sana.

Kila la heri Mheshimiwa.
Kubenea huyu huyu kanjanja? ??
 
Kubenea afufue sakata la escrow kwa uwezo gani wa elimu aliyokuwa nayo? ? elimu ya hapa na pale? ??. mnachekesha. ataweza kusoma ile mikataba ya kiingereza iliyoingiwa. hataelewa na mwishowake atatia aibu tuu. aende kwanza atoe ushahidi wa maneno aliyoandika kwenye gazeti la Mawio ili gazeti lifunguliwe. kaambiwa alete ushahidi akaingia mitini.
Labda akubali kushirikiana na ata asiyewapenda kwa maslahi ya taifa
 
unataka ushahidi gani ili kujua uwezo wa kubenea , mtu pekee aliyefichua bila ukungu sakata la ulimboka , halafu kiingereza si kitu kwa kubenea , anaongea vizuri kuliko viongozi wengi sana nchi hii , hata hivyo hatumuamini kwa ujuzi wake kwenye kiingereza , la hasha , bali anaaminika kutokana na uzalendo na ufia nchi wake .
uwezo wa Kubenea tuliuona wakati alipofichua sakata la Richmond. lakini akadhihirishia ulimwengu kuwa bila elimu ya kutosha, huwezi jipambanua kwa unayoyafanya. sakata la Richmond liligeuka kuwa dili safi kwa bwana mkubwa baada ya kusafishwa
 
HIVI kwa mfano nikuulize dwali
Kubenea na waizi wa ESCROW yupi anatakiwa aonekane mbaya kipindi HICHI
HIVI kweli mambo ya ufisad ni ya kufrahia jaman ivi kweli yana hitaji muwe na roho mbaya hivo kumsema kubenea badala ya kusikitikia walioiba
Khaaaa
we unasema nini mbona sakata la Richmond tumepigwa changa la macho mpaka tukaiua ajenda ya ufisadi wake. wapinzani tumebaki hatuna address sasa. yeye ndie aliobgoza na magazeti yake ya udaku ya mwanahalisi kumsema Lowasa ni fisadi kwa miaka nane na mwishowe akashiriki kumsafisha. ushee...nz..mtupu
 
Kubenea alikuwa ni mmoja wa waandishi wa gazeti lilikuwa linaongoza kwa mauzo Mwanahalisi. Sasa unaposema hana sauti ya kusema umetumia kigezo gani?
Kuandika ni tofauti na presentation. Kubenea amekosa hicho kwa sana. Inawezekana mtu akabisha ila ndo ukweli wake.
 
Kubenea hana lolote. Hata ubunge alipata kwa sababu ya upepo wa mabadiliko. Hana sauti ya kusema shida yake anajiona anajua na shule yake ya "hapa na pale".

Anataka aige akina Mnyika na ZZK wenye uwezo wao. Atatia aibu sana. Afuate wenzake akina Lema na Sugu walipata shule za MMKWA.
Hawezi? wewe unayeweza ni Mbunge wa wapi?
 
Mimi niliipinga sana escrow, ila naona hapa Kubenea anajaribu kupata cheap popularity! Very cheap of him, akaze buti aibue madudu mengine! Hii kitu akishajua ni ya nani atafanya nini? Kama ni ya mzee wa msoga, IT'S DONE AND DUSTED! Case closed!
Akili ya Barafu ya baridi huwa inanishangaza sana, kwa hiyo pesa ikipigwa basi?
 
Suala la kuwalinganisha sio lazima wafanye kazi pamoja, wako ktk field ya siasa wote, ni akili yako na yangu kupima uwezo wao wa kuchambua na kudadavua ishu, Zitto yule mbele by a street kwa kubenea, hutaki acha!
Hivi Kubenea amewahi kuwasilisha hoja gani mpaka umulinganishe na Zitto?
pili Zitto wakati yuko chuo ni nani aliyekuwa anamjua?
 
Back
Top Bottom