Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,681
- 239,220
Akizungumza na gazeti la Nipashe jana, mbunge huyo ambaye pia ni tegemeo la wananchi ametaja sababu kuu mbili zilizomsukuma kuchukua hatua hiyo;
Ya kwanza ni kutaka kujua mmiliki halali wa fedha hizo kati ya IPTL na UMMA.
Sababu nyingine amesema ni kutaka kuchukuliwa hatua kali sana dhidi ya wahusika wote wa sakata hilo ili iwe fundisho kwa wengine.
My take - kama nchi hii ikipata wabunge wengine kadhaa wenye uzalendo wa kiwango cha huyu Mh Kubenea nakuhakikishia nchi hii itapiga hatua kubwa sana.
Kila la heri Mheshimiwa.