Kubenea kufufua upya sakata la Escrow bungeni

Kubenea kufufua upya sakata la Escrow bungeni

Ukweli unabaki, Kubenea anataka kupata fame kupitia Kafulila na Zitto.
Zitto ni role model wa Kubenea na Kubenea ni protegee wa Zitto!
ni wapi kubenea na zitto walipowahi kufanya kazi pamoja hadi uwalinganishe ?
 
Mimi niliipinga sana escrow, ila naona hapa Kubenea anajaribu kupata cheap popularity! Very cheap of him, akaze buti aibue madudu mengine! Hii kitu akishajua ni ya nani atafanya nini? Kama ni ya mzee wa msoga, IT'S DONE AND DUSTED! Case closed!
umesoma kilichomsukuma kubenea kufufua hii kitu ? moja ya sababu ni kutaka wahusika wachukuliwe hatua kali ili iwe fundisho kwa wengine .
 
aanze na richimond akimaliza ndio aje ya escrow bila hivyo halitakubalika
Wala usihofu , Richmond inakuja na utabaki kinywa wazi ukitajiwa wahusika , siku hizi inaitwa symbion na imefadhili ujenzi wa uwanja gerezani , juzi nape kautembelea .
 
Akizungumza na gazeti la Nipashe jana, mbunge huyo ambaye pia ni tegemeo la wananchi ametaja sababu kuu mbili zilizomsukuma kuchukua hatua hiyo;

Ya kwanza ni kutaka kujua mmiliki halali wa fedha hizo kati ya IPTL na UMMA.

Sababu nyingine amesema ni kutaka kuchukuliwa hatua kali sana dhidi ya wahusika wote wa sakata hilo ili iwe fundisho kwa wengine.

My take - kama nchi hii ikipata wabunge wengine kadhaa wenye uzalendo wa kiwango cha huyu Mh Kubenea nakuhakikishia nchi hii itapiga hatua kubwa sana.

Kila la heri Mheshimiwa.
mkwere ataadhirika kubenea azuiliwe si vizuri
 
unaifahamu nafasi ya zitto kwenye sakata hili ? endelea kutega sikio .

naifahamu!

chadema wanatamani wapate zito mwengine, chadema wanamani wapate slaa mwengine.... KUBENEA ANALAZIMISHA KUVAA VIATU VYA ZITO ALIVYOACHA CHADEMA LAKINI KAMWE HAVITAWEZA KUMTOSHA...

HIVI KWA ELIMU GANI ALIYO NAYO KUBENEA ANAWEZA AKACHAMBUA , KAMA KINA ZITTO NA KAFULILA WALIVYOCHAMBUA ILE ISSUE ?!
 
mkuu chuki zako kwa kubenea zimeletwa na nini , kwanini tugombee fito wakati tunajenga nyumba moja ?
 
umesoma kilichomsukuma kubenea kufufua hii kitu ? moja ya sababu ni kutaka wahusika wachukuliwe hatua kali ili iwe fundisho kwa wengine .
Ningemuona wa maana kama angefanya kwa maskendo yote! Kama kweli ana nia na hana hidden agenda yeyote, basi nitamuinga mkono tatizo jamaa ni mnafiki! Sio wa kumwamini.
 
mkuu chuki zako kwa kubenea zimeletwa na nini , kwanini tugombee fito wakati tunajenga nyumba moja ?

sina chuki na mtu yoyote , ila ni mtu mwenye jazba na mkurupukaji ... na pia kupitia magazeti yake amechafua sana wanasiasa wenzake akiwemo zito, ... na kumsafisha lowassa ambaye yeye mwenyewe kwa kalamu yake aliandika kwa maandishi makubwa "lowassa hasafishiki"

ana kila dalili ya mtu mnafki !.. huyu ndio saed kubenea...
 
ni wapi kubenea na zitto walipowahi kufanya kazi pamoja hadi uwalinganishe ?
Suala la kuwalinganisha sio lazima wafanye kazi pamoja, wako ktk field ya siasa wote, ni akili yako na yangu kupima uwezo wao wa kuchambua na kudadavua ishu, Zitto yule mbele by a street kwa kubenea, hutaki acha!
 
Akizungumza na gazeti la Nipashe jana, mbunge huyo ambaye pia ni tegemeo la wananchi ametaja sababu kuu mbili zilizomsukuma kuchukua hatua hiyo;

Ya kwanza ni kutaka kujua mmiliki halali wa fedha hizo kati ya IPTL na UMMA.

Sababu nyingine amesema ni kutaka kuchukuliwa hatua kali sana dhidi ya wahusika wote wa sakata hilo ili iwe fundisho kwa wengine.

My take - kama nchi hii ikipata wabunge wengine kadhaa wenye uzalendo wa kiwango cha huyu Mh Kubenea nakuhakikishia nchi hii itapiga hatua kubwa sana.

Kila la heri Mheshimiwa.
Kubenea ni form iv au std vii ?
 
Ongeeni weeeee. Lakini ukweli utabaki kuwa tunahutaji kuiona Tanzania tunayoitazamia
 
kwani hukumsikia kwenye kampeni alipoenda eti kumbomoa mwakyembe? nilibaki namshangaa baada ya kumsikia akibweka pumba. baadaye ndo nimeelewa ni sababu ya elimu ya hapa na pale. ovyo kabisa.
sema ukweli wako na Mungu anakuona , Mwakyembe hakubomoka ? halafu kule bungeni kinachotakiwa ni uhalali wa nyaraka na ushahidi na kwa hili kubenea atawanyoosha , nakuhakikishia Muhongo atajiuzulu tena .
 
Akizungumza na g! eti la Nipashe jana, mbunge huyo ambaye pia ni tegemeo la wananchi ametaja sababu kuu mbili zilizomsukuma kuchukua hatua hiyo;

Ya kwanza ni kutaka kujua mmiliki halali wa fedha hizo kati ya IPTL na UMMA.

Sababu nyingine amesema ni kutaka kuchukuliwa hatua kali sana dhidi ya wahusika wote wa sakata hilo ili iwe fundisho kwa wengine.

My take - kama nchi hii ikipata wabunge wengine kadhaa wenye uzalendo wa kiwango cha huyu Mh Kubenea nakuhakikishia nchi hii itapiga hatua kubwa sana.

Kila la heri Mheshimiwa.
awe makini asipoangalia atatakiwa kulipa fidia kama mwenzake Kafulila !
 
Kubenea afufue sakata la escrow kwa uwezo gani wa elimu aliyokuwa nayo? ? elimu ya hapa na pale? ??. mnachekesha. ataweza kusoma ile mikataba ya kiingereza iliyoingiwa. hataelewa na mwishowake atatia aibu tuu. aende kwanza atoe ushahidi wa maneno aliyoandika kwenye gazeti la Mawio ili gazeti lifunguliwe. kaambiwa alete ushahidi akaingia mitini.
 
sema ukweli wako na Mungu anakuona , Mwakyembe hakubomoka ? halafu kule bungeni kinachotakiwa ni uhalali wa nyaraka na ushahidi na kwa hili kubenea atawanyoosha , nakuhakikishia Muhongo atajiuzulu tena .
ushindi ni ushindi tu hata uwe wa goli moja tena la penati ni ushindi tu. mwakyembe katua mjengoni, kilaza kubenea kaufyata. prof. muhongo ajiuzulu kwa hoja za kubenea? .......tumejipanga mtaisoma....
 
Back
Top Bottom