Kubenea kufufua upya sakata la Escrow bungeni

Kubenea kufufua upya sakata la Escrow bungeni

Kubenea hana lolote. Hata ubunge alipata kwa sababu ya upepo wa mabadiliko. Hana sauti ya kusema shida yake anajiona anajua na shule yake ya "hapa na pale".

Anataka aige akina Mnyika na ZZK wenye uwezo wao. Atatia aibu sana. Afuate wenzake akina Lema na Sugu walipata shule za MMKWA.
sasa mbona wewe mwenye elimu mbona ujaenda kutetetea masilahi ya taifa bungeni?
 
naomba na wabunge wengine wasisahau wale mafisadi wa richmond,EPA,KAGODA na hata uuzaji wa nyumba za serikali kwa bei ya kutupwa kwa mahawala zao....
 
Huyu kubenea nilimtabiria kutia aibu bungeni sababu kubwa sana ni moja,
Kwenda bungeni kutafuta sifa binafisi hii ni hatari
Naamini kinachotakiwa kutangulia ni kujenga hoja kwa maslahi mapana ya taifa baada ya hoja kukubalika ndio sifa binafisi inapofuata.
Amezoea kudhalilisha kutumia magazeti yake. Sasa ameanza kujianika.
 
Umeona garasa lako?? Ndo wnegi tulisema pale hamna kitu. Anapanic kusimama tu. Ataweza kusimamia hoja?
hivi wewe ndio wa kumuita Mh Kubenea garasa ? kwa lipi ulilomkaribia ? kuweni na heshima vijana , ukkiletewa ushahidi wa namna waheshimiwa wabunge walivyodhalilishwa utasemaje ? unajua kwanini chenge hakuomba uthibitisho ? kubenea hajawahi kuwa na utamaduni wenu wa kishamba wa kumung'unya maneno , kwake nyeusi ni nyeusi tu .
 
Huyu kubenea nilimtabiria kutia aibu bungeni sababu kubwa sana ni moja,
Kwenda bungeni kutafuta sifa binafisi hii ni hatari
Naamini kinachotakiwa kutangulia ni kujenga hoja kwa maslahi mapana ya taifa baada ya hoja kukubalika ndio sifa binafisi inapofuata.
unaandika nini wewe ? hivi na umaarufu wote alionao kubenea ndio akatafute sifa bungeni ? halafu wengi wenu hakuna anayekanusha wabunge kudhalilishwa , bali mnataka kubenea asiseme ! huyu mtu hana utamaduni wenu wa kuficha mambo , na naomba muendelee kumtupia macho kubenea maana ameahidi kuwataja waliochukua hela kwa fuso pale stanbic bank , hapo sijui mtasemaje .
 
unaandika nini wewe ? hivi na umaarufu wote alionao kubenea ndio akatafute sifa bungeni ? halafu wengi wenu hakuna anayekanusha wabunge kudhalilishwa , bali mnataka kubenea asiseme ! huyu mtu hana utamaduni wenu wa kuficha mambo , na naomba muendelee kumtupia macho kubenea maana ameahidi kuwatana waliochukua hela kwa fuso pale stanbic bank , hapo sijui mtasemaje .
Anajulikana anachotafuta ila hawezi. Na tumesema mapema. Asijaribu na ataahibika. Kusimamia unachoamini kwa hoja si kama vile hata kanuni hajui.

Awaachie Lissu, Mnyika na ZZK wafanye kazi zao.
 
Unamsema Kubenea wa Lowassa hasafishiki?? Basi ukitaka kunilinganisha Kubenea tunayemsema kila siku humu na jana kaua pale bungeni, basi we huna mfano.

Kubenea hana kitu kichwani. Amebaki miwani na makengeza tu.
vinavyotakiwa kuzungumzwa bungeni ni vile vyenye ukweli , haijalishi lugha gani unatumia , unampinga kubenea kwa kuongozwa na chuki .
 
Akizungumza na gazeti la Nipashe jana, mbunge huyo ambaye pia ni tegemeo la wananchi ametaja sababu kuu mbili zilizomsukuma kuchukua hatua hiyo;

Ya kwanza ni kutaka kujua mmiliki halali wa fedha hizo kati ya IPTL na UMMA.

Sababu nyingine amesema ni kutaka kuchukuliwa hatua kali sana dhidi ya wahusika wote wa sakata hilo ili iwe fundisho kwa wengine.

My take - kama nchi hii ikipata wabunge wengine kadhaa wenye uzalendo wa kiwango cha huyu Mh Kubenea nakuhakikishia nchi hii itapiga hatua kubwa sana.

Kila la heri Mheshimiwa.
...
 
Tusubiri Bunge lianze ndiyo tutajua umahiri wake, maana hiyo inataka werevu wa kujenga hoja binafsi na kuitetea.

Masikini kubenea,kijana ;mtanashati,anajua kuchomekea vizuri,lakini sasa akili zake sio nyingi

hii ilikuwa ni hoja ƴa chadema ktk harakati za kuikosoa serikali... lkn Jpm akaitumia kama fursa kwa kuwakamata Seth na Rugemalira....
 
Back
Top Bottom