georgemwaipungu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,779
- 589
Na Mwakyembe mwenye Elimu hukumsikia akibweka pale Mbeya kama hajaenda shule kabisa?kwani hukumsikia kwenye kampeni alipoenda eti kumbomoa mwakyembe? nilibaki namshangaa baada ya kumsikia akibweka pumba. baadaye ndo nimeelewa ni sababu ya elimu ya hapa na pale. ovyo kabisa.