Kubenea, baki na uandishi tu, Siasa huiwezi

Kubenea, baki na uandishi tu, Siasa huiwezi

Tulia we gamba,Kubenea unadhani ni polepole wa kutoa povu
Au masaburi fisadi wa UDA

Kete ya ufisadi mshaimeza wenyewe tafuteni hoja nyingine,UKAWA ni chaka na ficho la mafisadi.
 
Kama hujui usipotoshe. Habari iliyosababisha gazeti lake lifungiwe ni ya ulimboka.

Mdau kasema habari zilizolifanya gazeti la Mwanahalisi kupata umaarufu ni habari za ufisadi na hajasema habari iliyosababisha gazeti kufungiwa
 
Watu sampuri ya Kubenea kifupi ni wachochezi.
Dawa yao inachemka, baada ya uchaguzi
Jamaa ni mzushi balaaaa
 
mimi huwa nashangaa mtu mwenye bias hivyo kumiliki media house...no objectivity.
 
Leo nimesikiliza Saed Kubenea kwenye kipindi cha mada moto kwakweli jamaa kwenye siasa hamna kitu anajikanyagkanyaga tu…!!

Siasa unaweza wewe gamba, kachukue mshahara wako Lumumba!
 
Kubenea si tu hawezi siasa hata uandishi hawezi

Leo anasema miaka 30, nyerere alifanya kazi kubwa miaka 24 ccm haijafanya chochote, amesahau miaka 13, kati ya 20 ya vyama vingi watendaji wakuu walikuwa sumae na mwizi papa edo,

Leo anataja makampuni ya kifisadi anairuka richmond tena kwa makusudi, kubenea mwogope Mungu..

Jambo baya anadharau hata kazi zilizofanywa na pombe, tena zinazoonekana anasema barabara hazipitiki... kubenea shem on U hujui kusoma hata picha huoni??

Yule jamaa uliekuwa nae kasema nguzo za uongozi, nimeona alipotaja ufisadi ulikosa pozi...
Jitahidin ila mwisho ni ocT.

Kama hawezi Ubunge; na Uandishi ambao tulidhani ndio taaluma yake amepelepweta - basi akagombee KUPIGA DEBE KWENYE VITUO VYA BASI (Maana hiyo inahitaji sauti tu). Kazi ya Ubunge ni kutumikia watu - unatakiwa uwe na uelewa - sio kupiga talalalila tu.
 
Jana nilimsikiliza sijaona cha maana alichoongea kabisa
 
Jamaa hamnazo kabisa, yeye anawwza akawa mzuri katika mengine lakini kisiasa lazima tukubali katika hili. Kama siwezi kumwamini Mnyika mtu ambaye nilimwamini maisha yote siwezi tena kumwamini yeyote katika upinzani ..wote walaghai wataka vyeo na misifa tu, wakipewa wanabweteka sana, wanajisahau na wanajaa maringo sana ..ni kweli maskini akipata matako hulia mbwata
 
Kete ya ufisadi mshaimeza wenyewe tafuteni hoja nyingine,UKAWA ni chaka na ficho la mafisadi.

Wamelishwa matapishi yao kwa lazima na waliemfananisha na shetani ..wakapimwe akiri
 
kubenea hata kuandika itakuwa alikuwa anasaidiwa tu, from day one namuona jukwaani akifungua kampeni zake za ubunge hakuwa na lolote la maana.

Kwani magufuli alikuwa ana lipi LA maana
 
Ikulu mtaendelea kuisikia redioni na kwenye media zingine. Katu ukiwa msahau kuingia ikulu. Bora kuwapa ACT kuliko nyie maUKIWA
 
Kama hujui usipotoshe. Habari iliyosababisha gazeti lake lifungiwe ni ya ulimboka.
La Ulimboka ni sehemu tu gazeti hilo halikuanza kupata misukosuko kwa kesi ya Ulimboka tu,nadhani ulianza kulijua hilo gazeti wakati wa Ulimboka ,pia jibu na hilo lingine la kufukuzwa gazeti la Rai na je hilo gazeti lilikuwa haliwanangi watu walio kwenye orodha ya aibu?
 
Kubenea anafaidi nini?soma mada na ijibu kama ilivyo sio ushabiki

Wasikuchoshe,kwanza kubenea ni handcap.Si tu siasa,hawezı hata uandishi.Pengne anaweza kuwa mwandishi wa habarı za udaku.Alafu km chizi vile,sijui wenzangu mnamwonaje?Mtu mwenye umri wa miaka 18 siamıni kama anaweza kumpgia kura Kubenea.
 
Tulia we gamba,Kubenea unadhani ni polepole wa kutoa povu
Au masaburi fisadi wa UDA

Kubenea ni Laghai na Tapeli la siasa. Yeye ndio alikuwa mtu wa kwanza kutuaminisha kuwa Lowasa ndio fisadi mkuu na ni muhusika wa richmond akaenda mbali zaidi katika hiyo makala yake akadai na ushahidi anao! Leo yuko naye majukwaani anamnadi eti ni mtu safi na ndio jemedari wake! Huyu kubenea akapimwe akili.
 
hivi hali ya ubungo ikoje kuhusu kampeni za ubunge?
 
niliacha kusoma gazeti lake baada ya kutumika kumchafua dr slaa
 
niliacha kusoma gazeti lake baada ya kutumika kumchafua dr slaa

High time sasa uhamie uhuru na mzalendo mkuu. Ni muda wa kuitendea haki nafsi yako kwa kuhamia magazeti hayo. Sio lazima usome wewe, atasoma mume wako magazeti ya said kubenea. Wewe soma uhuru.
 
Back
Top Bottom