High time sasa uhamie uhuru na mzalendo mkuu. Ni muda wa kuitendea haki nafsi yako kwa kuhamia magazeti hayo. Sio lazima usome wewe, atasoma mume wako magazeti ya said kubenea. Wewe soma uhuru.
huna haki ya kunichagulia cha kupenda kama nisivyo na haki ya kukuchagulia cha kufanya....by the way kuwa makini na vitu usivyokuwa navyo na ukakika...mimi sio mwanamke