Nafikiri alipaswa aseme mwenyewe kuliko kusubiri kuambiwa, ni kawaida ili kusudi watakaoteuliwa kusimamia mali za mzee wawe aware na deni hilo. Na ikumbukwe ukisikia Mengi anamdai mtu usidhani ni buku au msimbazi, ni mamilioni ya hela. Angesema tu mwenyewe kuwa binafsi mzee ameondoka lakini ananidai pesa, kwahiyo watakaokuwa wasimamizi wa mali za mzee wajue kuwa mzee ananidai na nilimuahidi kumlipa siku flani, hivyo tuendelee kuwasiliana kwa ukaribu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.