Kubenea ampa onyo kali Nape

Nimepitia zaidi ya mara kumi huu uzi sijaona hilo onyo kali la Kubenea dhidi ya Nape.
 
Naona anataka kucheza na serikali ya Magufuli ni suala la muda tu ataona kilichomtoa kanga manyoa anadhani hii bado serikali ya JK alikuwa anawavumilia.
 
Ktk mtu ambae huwa hata sitamani kusikia jina lake ni kubenea.
Tokea akiwa adui wa luwasa mpaka hii leo swahiba wa luwasa.
Hapa ninapo andika nasikia kisirani.

Mtu yoyote anaebadilika kila kukicha hasa ktk masuwala ya kitaifa huwa simpendi.
Siajabu kwa kubenea akarudi akawa shahidi wa jamhuri dhidi ya hao wahariri washukiwa wa uchochezi.

Kama aliweza kumuandika luwasa kwa kila aina ya uchafu halafu akaja kumsifia luwasa kwa kila aina ya usafi siajabu kubadilika tena na natena.
 
Nimekubali kweli ww ni ALWATAN KIZIGO hata Kessy wa Nkasi ni Bora kuliko kubenea???
 

hebu niambie mkuu,,,tangu kubenea aanze kumeza matapishi yake kuna uovu gani mawio wameufichua toka serikalini zaidi ya kuwasema watu binafsi?

Kubenea ni mpiga ngoma wa mfalme hakuna la zaidi pale! Ndio sababu utaona siku za karibuni, kwake yeye habari za uchunguzi ilikuwa ni Zito na Slaa.

Na ile tabia ya Kubenea ndio waliyo nayo wafuasi wengi wa Chadema, ndio maana watani zao ccm huwaita nyumbu.

Hebu fikiri! Uliwahi kuwaza kwamba Kubenea ataja mkashifu Slaa na kumsifia Lowasa? Kama si unyumbu ni nini hiki?
 
Nalipenda sana gazeti la mawio lakini kiukwel wakati mwingine kubenea sijui anakuwa na pepo gani,ukisoma kichwa cha habari tuu unachoka,unajua kabisa ana bifu na fulani
 
Tatizo lake lilikuwa ni la kupewa onyo na kukumbushwa utaratibu na sio kufungiwa moja kwa moja...
Una uhakika hayo unayosema (ya kupewa ONYO) hayajafanywa na serikali? Notisi kibao zimesomwa za kutolewa kwa onyo...lakini Mawio ndio kwanza waliendelea kuandika habari zisizokuwa na maadili na zilizojaa uzushi.
 
Kubenea asidhani ubunge utamkinga pale atakapovuka mipaka. Shauri yake.
Mpaka gani !!!!??? Kubenea mbunge Wa jimbo gani !? Na hao wahariri wa mawio na wafanyakazi wao ni wajimbo gani la ubunge !? Nikosa kuwapigania wapiga kura wako!!?? Shame on you
 
Mm ntalimiss sana co cr
Nlkuwa nafurahia kuwasoma watawala
 
yotekwa yote maalim seif kishajitangaza rais na sisi tunamuunga mkono rais mpya
 
Siku zote tanzania hii mesma kweli ndio uonekana ana mapungufu na huo ndio ukweli,
 
Kubenea anatumika vibaya sana, kipindi hicho kubenea alikuwa anatumiwa na nape kumchafua lowassa kwa muda wa miaka 8, leo kubenea katemwa kama big G analalamika. Ila tatizo la kubenea ni shule, anaruka ruka tu lakn elimu hakuna kumkichwa
Kubenea ni mheshimiwa mbunge wa ubungo,katemwa vipi wakati huyo nape naye kakimbilia huko kwenye ubunge?
 
Onyo wamepewa hawasikii na wanajiona wana uhuru kuliko watu wengine. Haiwezekani ukawa na uhuru bila kiwa na wajibu. Ati wanajiita sauti ya wananchi nashangaa wananchi gani hao kila kunapokucha matusi tu?
Hilo gazeti litafunguliwa na serikali italazimika kuwalipa mamilioni hao wamiliki wa mawio
 
Uandishi wap kama global publisher

Hawana nidhamu

Tena wasiishie kulifungia tu walizike futi 20 chini ya ardhi
Hizo ni ndoto za alinacha,labda walifungie uhuru na mzalendo yaliyo kosa wasomaji
 
Bado natafuta hilo linalo itwa onyo kwa Nape...!
 
ainisha hapa MAWIO wanaupungufu wa maadili kwa mujibu wa sheria ipi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…