Kubemendwa: Hiki kitu kweli kipo?

Kubemenda ni kitendo amabacho hutokea mara baada ya mama kupata mimba ndani ya miezi mitatu baada ya kujifungua mtoto,mama huyo huaribu mfumo mzima wa maziwa ambayo mtoto mchanga anatakiwa anyonye kwa maana ingine ni kuwa mwanamke mjamzito anatakiwa ajitahidi asipate mimba kabla mtoto hajapata vzur maziwa ya kwanza ya mama anapozaliwa ndani ya miezi sita,ikitokea mama akapata mimba ndani ya mwezi mmoja ama miwili hadi mitano,inamaanisha ujauzito mpya umetungwa na chakula cha mtoto mpya kinaandaliwa kwajiili ya mtoto aliyeko tumboni.Na maziwa ya mama huyo huanza kuwa mepesi yasiyo na virutubisho sahihi kwa kumnyonyesha mtoto mchanga,ikitokea mama kuendelea kunyonyesha mtoto angali mimba nyingine imeshatungwa kutaleta madhara kwa mtoto anaenyonya hivyo kusababisha mtoto kukosa lishe bora ya mama ya maziwa ya kwanza ya uzazi wakati mwingine mtoto anaweza asitembee kwa wakati kwa kuwa hakupata maziwa sahihi yatakayomfanya aweze kupata nguvu na kutembea kwa wakati pia hata kutengenezeka kwa akili ya mtoto hutegemea maziwa ya kwanza ya mama mzazi.
 
Back
Top Bottom