Kubembeleza mpenzi kila wakati

Me napenda kubembelezwa jamani looh. Muda mwingine hata kakitu kadogo tu unajinunisha ili ubembelezwe. Kimbembe sasa ujinunishe afu huyo mpenzio awe bandindu hahaahaha utajichekesha mwenyewe mbona
 
Ulimpiga chini au ulijipiga chini?!, alimpata anayevumilia kubembeleza ko ucone alikuwa anadelay,
 
hujapata wakukubembeleza ww...
1620722_10152306581143487_2126725617_n.jpg

@ swaga
 
Me napenda kubembelezwa jamani looh. Muda mwingine hata kakitu kadogo tu unajinunisha ili ubembelezwe. Kimbembe sasa ujinunishe afu huyo mpenzio awe bandindu hahaahaha utajichekesha mwenyewe mbona

heheheeee...
 
Back
Top Bottom