sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 21,039
- 48,152
Ahaaaa....sawa mkuu ngoja akija kunisalimia....nikianza kumsindikizaBro siku ukibeba piga kapicha ukatupiamo humu tuone
Teh teh..Ungechelewa kidogo watu wangeanza kumpiga sound..
Ahaaaa....sawa mkuu ngoja akija kunisalimia....nikianza kumsindikizaBro siku ukibeba piga kapicha ukatupiamo humu tuone
Teh teh..Ungechelewa kidogo watu wangeanza kumpiga sound..
Wangeanza auTeh teh..Ungechelewa kidogo watu wangeanza kumpiga sound..
Teh teh..Mi Mende mstaarabu bro..Sikai chooniWangeanza au
Ungeanza!!
The retired bazaz
Ha haa mende mende tuu....Teh teh..Mi Mende mstaarabu bro..Sikai chooni
Kama unatumia wewe kuna tatizo gani?kwenye mkoba wa wanawake unaweza kuta hata kondomu zimo kwenye mkoba unaoubeba, dont take that risk!
Mkuu hiyo sukari nayo imefichwa?View attachment 348556halifichikii eeh halifichikii..! Gunia la sukari[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Good...Bag tu? Mi wangu namnunuliaga mpaka pedi na kuzibeba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mkuu hiyo sukari nayo imefichwa?
Kuna siku nilienda kumtembelea Boyfriend, sasa mda natoka kwake yeye akawa yuko kama hatua kumi mbele yangu mimi nilikuwa na mdada wa saluni nachukua namba za simu kuna rasta nataka nimwagize
Sasa ile namaliza kuchukua namba mbele kulikuwa na mijibaba kibao kwenye Grocery inamshangaaa hatareeee boyfriend vile kabeba bag yangu....ikanibidi nikimbie nimuwai niwe naye karibu ili kule kushangaa kupungue....
Pamoja na kuwanaye close ile mijibaba iliendelea kushangaaaa tuuu. Sasa sijaelewa kwani boyfriend kubeba begi ya kike ni tatizo? Mbona naonaga Dai anabeba ya Zari na watu hawashtuki? Why my boyfrind washangaeee?