kuchangumu
JF-Expert Member
- Apr 2, 2014
- 724
- 290
Hata mimi nimegoma kukubali
Umegoma hamna ukubwa huo?
ndiyo!
Huyo sio tilapia Ni Nile perch
Kweli wapo wengi tuu, wengine hawa na kwa wasio jua, Sangala aliletwa Ziwa Victoria ili awale Sato wapungue!, matokeo yake ameleta balaa!, kwanza amewamaliza Kamongo wote!, sasa anamalizia Sato, akiwamaliza, inafuatia kulana wao kwa wao hadi tutafikia wakati Ziwa Victoria litakuwa halina samaki tena!.
Pasco

Nalemaga, ndoho ghete..!
Nalemaga, ndoho ghete..!
''ngete'' kikwetu ni matusi wewe!! Usiandike tena!