mi sio mali yako kwanza unanipeperushia ndege wangu ujue.:llama::llama:Kulinda mali zangu zisiliwe na mafisi yenye tamaa...
We tutaongea chumbani
Nani alikudanganya Daslam kuna wazee??
Ukweli mtupu!!!!
mamboo....
yani katika mambo nayochukia ni kupewa neno Shikamoo.. ukitaka kuzeeka ruhusu kupewa shikamoo. mi huwa najibu POA. tena wengine hata hawatamki vizuri utaskia "Shkao"
Hata Mengi mara ya kwanza aliamkiwa na K-lyne
hahahahaaaa! nimechekajee! eti shkao!
ahahahahahahahahaha we!Hivi shikamoo bado zipo tu!? Mie nilidhani ziliisha tangu mwaka 47 lol!!!! Rafiki yangu Fixed Point anapenda shikamoo jamani dah!!!!
ahahahahahahahahaha we!
ukitaka mgombane na Fixed Point usimwamkie huku anajua we mdogo!
chaaaaaa!
nataka kuanza mgomo wa kumuamkia kwa kweli!
nimechoka kumwamkia kila siku!
ndyuuuukiiiiii