FRUIT TREE
JF-Expert Member
- Jun 7, 2018
- 698
- 819
Mkuu level gani ?mimi ni mtaalamu wa maabara nahitaji wa kubadilishana nae nipo Dar Wilaya ya kigamboni nahitaji kwenda mwanza au Geita mjini 0754370835
Huko tabora si kuna yule rc mwamri? Mbona unakimbia au amekuoshea?Njoo Sikonge-Tabora nije kati ya wilaya hizi;-
1. Ifakara-Morogoro
2.Nzega-Tabora
3.Uyui-Tabora
Idara-afya
Kada-Uuguzi
Cheo-NM(EN)......1
Cheo-ANO(RN)....2
Mawasiliano;-
+255763127549
Sent using Jamii Forums mobile app
Rc Mwanri ni mkali kwenye kazi na wajibu wa mtumishi wa umma ni kufanya kazi kulingana na taratibu,kanuni na sheria za kazi.Huko tabora si kuna yule rc mwamri? Mbona unakimbia au amekuoshea?
Sent using Jamii Forums mobile app
DiplomaMkuu level gani ?
Kuna muhudumu wa afya (M.A) anatafuta mtu wa kubadilishanaye kituo cha kazi, kwa sasa yeye yupo mkoa wa Mtwara na anatafuta mtu wa kutoka Tabora
Nipo tayari naomba naomba yako mkuuNjoo mpanda katavi nije geita manispaa mhudumu wa afya
Yupo jamaa yangu nitafute yy yupo tayariKuna muhudumu wa afya (M.A) anatafuta mtu wa kubadilishanaye kituo cha kazi, kwa sasa yeye yupo mkoa wa Mtwara na anatafuta mtu wa kutoka Tabora
Mkuu level gani ?
njoo handeni tanga mkuu 0765699741Diploma
Mimi nimegraduate ni muhitimu wa nursing natafuta sehemu ya kujitolea wanapolipa vzrKutokana na nyuzi nyingi kuja humu jukwaani kwa minajili ya kuomba kubadilishana vituo vya kazi kwa kada ya Afya, ipo haja ya kuwa na uzi mmoja utakaokusanya, kujadili na kujibu maombi yote ya aina hii.Uwe Mganga Mwandamizi, Mganga wa Kawaida, Afisa Tabibu, Muuguzi, Mkunga au Muhudumu wa Afya karibu kwenye uzi huu ukutane na wenzako wenye mahitaji kama ya kwako. Kwenye andiko lako ni vema ukasema ulipo, mkoa na wilaya ambako ungependa kwenda na mawasiliano yako. Tunashauri mtumie barua pepe au namba ya simu
KARIBUNI SANA WATUMISHI
Kada?Njoo singida iramba kama kuna mtu yupo dar mkoa pwani wilaya yoyote ile
Kwa maelezo zaidi njoo DM
Sent using Jamii Forums mobile app