Kubadilishana vituo vya kazi kwa kada ya afya pekee

Njoo Sikonge-Tabora nije kati ya wilaya hizi;-

1. Ifakara-Morogoro

2.Nzega-Tabora

3.Uyui-Tabora

Idara-afya
Kada-Uuguzi
Cheo-NM(EN)......1
Cheo-ANO(RN)....2

Mawasiliano;-
+255763127549




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njoo Sikonge-Tabora nije kati ya wilaya hizi;-

1. Ifakara-Morogoro

2.Nzega-Tabora

3.Uyui-Tabora

Idara-afya
Kada-Uuguzi
Cheo-NM(EN)......1
Cheo-ANO(RN)....2

Mawasiliano;-
+255763127549

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njoo singida mkalama nije katavi wilaya yoyote MA 0621245357 kumbuka kujitambulisha vizuri to make cheap communication
 
CLINICAL OFFICER II niko Musoma municipal(MARA) njoo Manispaa ya Musoma nije Mwanza Halmashauri yoyote(Magu,Sengerema,Ukerewe,Misugwi,Ilemela au Nyamagana)

Mkoa wa Geita wilaya yoyote.

Mkoa wa Kigoma wilaya yoyote


0718090269
 
Kutokana na nyuzi nyingi kuja humu jukwaani kwa minajili ya kuomba kubadilishana vituo vya kazi kwa kada ya Afya, ipo haja ya kuwa na uzi mmoja utakaokusanya, kujadili na kujibu maombi yote ya aina hii.Uwe Mganga Mwandamizi, Mganga wa Kawaida, Afisa Tabibu, Muuguzi, Mkunga au Muhudumu wa Afya karibu kwenye uzi huu ukutane na wenzako wenye mahitaji kama ya kwako. Kwenye andiko lako ni vema ukasema ulipo, mkoa na wilaya ambako ungependa kwenda na mawasiliano yako. Tunashauri mtumie barua pepe au namba ya simu
KARIBUNI SANA WATUMISHI
Mimi nimegraduate ni muhitimu wa nursing natafuta sehemu ya kujitolea wanapolipa vzr
 
Njoo bukoba mjini nije Kilimanjaro au Arusha wilaya yoyote
Kada Muuguzi
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom