Kubadilishana Kituo Cha kazi

Kubadilishana Kituo Cha kazi

Sidhn kama unfortunately tafasiri yake nibahat mbaya tu, nachojua pia ni kutotegemea kitu fln kutokea, sasa haijalish kitatokea kwa ubaya au kwa uzuri.
Lugha sio yetu, karbu

Unfortunately======>> UNLUCKY/REGRETTABLE

simply means KWA BAHATI MBAYA

Wataalam wa lugha tusaidieni
 
Back
Top Bottom