habari za asubuhi wakuu..!!
#mimi nina blackberry bold 9780 (white) haina tatizo lolote and with no scratches.
#kama kuna mtu ana smartphone yoyote na haina tatizo lolote na angependa tubadilishane basi anaweza kuni pm.
##asanten nawatakia asubuhi njema na sikukuu njema ya wapendanao.