SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,240
- 4,280
- Thread starter
- #21
Nicas Mtei wewe unaongoza kwa kubadili avatar!Hii ya sasa hivi ni mpya kabisa ndo naiona leo!nimekuona
Last edited by a moderator:
Nicas Mtei wewe unaongoza kwa kubadili avatar!Hii ya sasa hivi ni mpya kabisa ndo naiona leo!nimekuona
Pole Smile. Ila nikuulize: Unapoenda dukani ukaambiwa kilo ya mchele ni shs 2,500 na maharage kilo sh1000 huoti ndoto mbaya kwa kuwalaza wanao kwa njaa? Avatar yangu ni reflection ya ugumu wa maisha ya Tanzaniaduuh nitaota ndoto mbaya leo