Kubadilika kutoka “selected for oral interview” kuwa “shortlisted interview”

Tuwe na Subrah
 
Sometimes hizi kazi ni shida tu zinatufanya tuzishobokee,leo niko kijiweni kwangu na mvua inanyesha nikaona ugeni wa mabinti wawili wamelowana wanakuja.

kwangu, wakajitambulisha kuwa ni maofisa wa tra wako kwenye ukaguzi wa tin number nikiwauliza sasa mbona mnanyeshewa hivyo wakaniambia kuwa wana target hivyo inabidi wakomae coz mwezi ni kama umeisha vile.

Nimewahurumia sana.
 

Wezi hao au interns hao au labda ww umeweka chumvi kidogo!!


Sorry for that!!
 
Ofcoz kazi za tra hasa hawa tax management huwa naona wanatembea sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…