Kubadilika kutoka “selected for oral interview” kuwa “shortlisted interview”

Hata Custom Assistant wamewekewa hivyo hivyo shortlisted . Kutoka Selected for Oral.
 
Hivi haya matokeo yanatoka baada ya muda gani? I mean oral ikishafanyika matokeo ya waliopangiwa nafasi za kazi yanatoka baada ya siku ngapi? Pia nataka kujua hivi zile alama unazopata kwenye written huwa zina effect kwenye overall ya matokeo?

I mean kwa mfano kwenye written umepata 80% ila kwenye oral ukapata 50% Je kuna uwezekano wa alama za kwenye written zikakubeba?
 
Hapo kwenye matokeo yanatoka lini mm mwenyewe nasubiri majibu Ila kuhusu Alama za oral naamini zinajitegemea km ulifanya Vizuri Oral Basi tegemea mambo mazuri
 
Mliofanya oral utumishi tupeni maelekezo wa zoezi zima kuanzia kuingia hadi kutoka
Ukifka eneo la tukio unakaguliwa vyeti na kitambulisho, unakabadhi simu zako zote na saa smart kama unayo kwa wahusika kwa kuandika majina yako ,unapangiwa eneo la kusubiri usahili kama chumba maalumu ,zamu yako ikifika unaelekea chumba cha usahili kufanyiwa usahili wa mahojiano ukimaliza unapewa simu zako unachapa lapa eneo la usahili utakiwi kuonekana.
 
ZA NDAAAAAANI KABISA! Kuna interview nyingine ina.....
 
ZA NDAAAAAANI KABISA! Kuna interview nyingine inakuja. Vijana mliofanya oral siku Ile mlizingua wengi. Na ratio ya serikali ni 3 candidates for 1 position. So kaeni mkao wa kula kwa wale mliopata 49.8 mpaka 45. Ngwe ya pili yaja
Uko serious boss?
 
ZA NDAAAAAANI KABISA! Kuna interview nyingine inakuja. Vijana mliofanya oral siku Ile mlizingua wengi. Na ratio ya serikali ni 3 candidates for 1 position. So kaeni mkao wa kula kwa wale mliopata 49.8 mpaka 45. Ngwe ya pili
Uko serious boss?
Ulifanya oral?
 
Ndio mkuu,nilifanya TMO.
 
MATOKEO WALISEMA SIKU ILE YATATOKA NDANI YA WIKI TATU

PASS MARK YA UTUMISHI NI 50% INGAWAJE KAMA WAPO WENGI WALIFIKISHA HIYO ALAMA NA NAFASI NI CHACHE BAS WATATUKUA WALIOPATA MARKS ZA JUU ZAIDI MPAKA IDADI YAO ITAKAPOKAMILIKA

KUHUSU KUANGALIA MARKS ZA WRITTEN NA ORAL BADO HAIPO WAZI COZ NI SIRI YAO WANAOSHIRIKI KUPASISHA!!

ZA NDAAAAAANI KABISA! Kuna interview nyingine inakuja. Vijana mliofanya oral siku Ile mlizingua wengi. Na ratio ya serikali ni 3 candidates for 1 position. So kaeni mkao wa kula kwa wale mliopata 49.8 mpaka 45. Ngwe ya pili

Ulifanya oral?
Unamaanisha au just kuwafariji tu vijana?utumishi sijawahi kusikia huo utaratibu
 
Mm huwa ikihama toka selected for oral interview mpaka selected for…. Na io kazi nilikwishaga ikosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…