Top gun maverick
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,092
- 2,923
Salam wana jf husika na kichwa cha habari hapo juu Leo PC yangu ilikuwa ni window 8 sasa nikawweka CD ya window 10 nikaingia kwenye window setup lakin inagoma na nikijaribu kuzima kurudi kwenye window ya mwanzo inakata sasa Niko kwenye dilemma msaada wa haraka jmn