Kubadili Priorities TCU hakuna madhara?!

Kubadili Priorities TCU hakuna madhara?!

rozay mnyama

Member
Joined
Oct 2, 2015
Posts
9
Reaction score
1
habari zenu wakuu..iv always nikiwa na logg in kweny account yangu ya tcu na kuchange priority haina madhara...coz am wait second round
 
Hambar ko pitia jamii mm Niko igunga tabora niliaply thruu nacte nikichagua vyuo vtano mzumbe.udsm.mzumb mbeya. Tumain dar. Na juco bat nilikuwa na GPA ya 2.75 law sasa kutokana na comptn na mkanganyiko uliopppo had sasa majina hayajatoka nacte bat ud.juco.tumain.sijaona jina langu sina Aman kabisaa.pia kwe profile yangu Niko safe sijaambiwa nireset kuna ujumbe tu kuwa congltn for succefull complitn online admssn into bach degree.....at any time you can modfy your before 16.10 langu kaka je possibo ya kupata chuo IPO had sasa? Mana sielew chochote had sassa plz naomba ufafanuz kwa hilo kaka samahan kwa usumbufu tafadhali..mziray
 
Back
Top Bottom