VVTi ni valve janja, zinafanya kazi ya ziada km kuzuia mafuta yasiende wakati hayahitajiki katika kusukuma gari, uvutaji wa mvuke wa petrol na utoaji wa muunguzo unaotoka kwenye tundu la piston mwanzo zilikuwa valve 2 tu inlet na outlet sasa VVTi wanaweka mpaka 5Mzeee 5S inashida gani bila mfumo wa VVTi, nielezee kidogo hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
2AZ- FE pale Ilala ni bei gani?Weka 2AZ FE, cc 2360 utasahau suala la fuel consumption mbaya....Tafuta used ya nje sio ya hapa bongo.
Umemaliza kila kitu mkuuVVTi ni valve janja, zinafanya kazi ya ziada km kuzuia mafuta yasiende wakati hayahitajiki katika kusukuma gari, uvutaji wa mvuke wa petrol na utoaji wa muunguzo unaotoka kwenye tundu la piston mwanzo zilikuwa valve 2 tu inlet na outlet sasa VVTi wanaweka mpaka 5
(VVTi Variebly Valve Timing intellgent)
View attachment 1070660 View attachment 1070688 Injini ya 5s
sasa tofauti ya injini ya 5s ni kuwa ukaaji wake na baadhi ya vitu vya zamani (hiyo injini ya 1MZ) ilikuwa na vifaa vingi itakugharimu rudishia tu injini nyingine kama ya awali zipo pale Ilala DSM
we jamaaHabari zenu wakuu!
Katika pita pita zangu za mtaani nilifanikiwa kununua Harrier 3.0 FOUR kwa rafiki, gari ni nzima kabisa ilikuwa ya kuwasha na kuondoka. Changamoto ni kwenye fuel consumption inakomoa (wastani wa 2.5Km per litre). Maamuzi binafsi niliyofikia ni kubadili engine hii na kuweka yenye consumption inayoendana na kipato (atlest 6km/litre). Nipo Dsm, natafta fundi/mtaalam mwenye uzoefu na hili zoezi kwa gari tajwa anishauri ni engine gani inafaa kufungwa na ikiwa ndani ya uwezo wake nimpe kazi ya kuibadili. Hata kama si fundi ila una ushauri wowote katika hili nitashukru.
Nia yangu si kufanya malumbano na wewe, haunijui na sikujui pia hivyo sina sababu yoyote kukudanganya na haininufaishi chochote. Wenye mawazo ya kujenga wamenipa na imesaidia, gari ilikuwa na faults. SIjui wewe reference yako ni gari gani lakini kwa ukubwa wa bodi ya Harrier na kama bado unahitaji iperfom barabarani hatutegemei ifungwe engine ya vitz. Labda kwa huo unaouita uzoefu wako nisadie kujua engine ya harrier inayokula mafuta ya chini kabisa ni ipi (model) na consumption rate ni ngapi hilo litanisaidia sehemu. ASANTEwe jamaaJF mmezidi uongo sasa khaah....et at least engine ya 6km/l iv uko serious wewe......kwa uzoefu wangu katika magari gari ya 6km/l inaohopeka sana coz fuel consumption inaonekana juu asa we umekosa vya kutudanganya ndo utuambie kuwa una 2.5km/l kadanganye watoto wa vidudu uko
Mkuu,kwa ukubwa wa Engine ya Harrier, hasa hiyo ya mleta mada ambayo ni Six Cylinder(Engine ya Harrier 1MZ cc 2990) kilometa 6 ni sawa kabisa kwa mafoleni ya mjini,kutegemea na hali ya gari(plugs,services,nozzles et al). Kwa Engine ndogo yaani 5S(cc2160) au 2AZ(cc2362 VVTi) unaweza kupata kilometa 7 au 8 kwa lita kwenye foleni.we jamaaJF mmezidi uongo sasa khaah....et at least engine ya 6km/l iv uko serious wewe......kwa uzoefu wangu katika magari gari ya 6km/l inaohopeka sana coz fuel consumption inaonekana juu asa we umekosa vya kutudanganya ndo utuambie kuwa una 2.5km/l kadanganye watoto wa vidudu uko
Mkuu,kwa ukubwa wa Engine ya Harrier, hasa hiyo ya mleta mada ambayo ni Six Cylinder(Engine ya Harrier 1MZ cc 2990) kilometa 6 ni sawa kabisa kwa mafoleni ya mjini,kutegemea na hali ya gari(plugs,services,nozzles et al). Kwa Engine ndogo yaani 5S(cc2160) au 2AZ(cc2362 VVTi) unaweza kupata kilometa 7 au 8 kwa lita kwenye foleni.
Ila ukiwa highway,gari zote hizo hufika kilometa 11 kwa lita
Ebwana nimeona mahali hii gari inauzwa, nipe uzoefu wako ipoje ,changamoto zake n.kMe yangu 5S ambayo ni cc 2160, ulichosema hapa ni 100% true, na naona halina shida,
kwa upande wangu ingawa hukuniuliza hii gari ni nzuri sana sana tuEbwana nimeona mahali hii gari inauzwa, nipe uzoefu wako ipoje ,changamoto zake n.k
Nina wasiwasi kama hiyo injini inakaa kwenye harrier old modelWeka 2AZ FE, cc 2360 utasahau suala la fuel consumption mbaya....Tafuta used ya nje sio ya hapa bongo.
Nimekupata vema mkuu ,thanks.kwa upande wangu ingawa hukuniuliza hii gari ni nzuri sana sana tu
tena Harrier Injini ndogo (sio 6, 3000cc) inahitaji matunzo na usizidishe mzigo km Noah
kwani inapakia watu wa5 tu kwa nafasi zilizomo ndani
inaviti popote km ukijipanga na gari ndogo (sedan /saloon) ipo ukija kwenye magari ya SUV km Prado cruiser nayo utaikuwa
kwenye mwendo katika lami ukiipeleka off road makorondo mitoni milimani inafit kwani ipo juujuu
zipo maa nyingi zinazoisifia hii gari humu JF pekuapekua utaipata
Inakaa hasa ya mwaka 2001 na 2002. Kuanzia mwaka 2003 ikaanza toleo la awali la iitwayo kibongobongo NEW MODEL. Ingawa kwa sasa Harrier New Model ni Hybrid na iko tofauti kabisa na hizi tuziitazo New Model kibongobongo.Nina wasiwasi kama hiyo injini inakaa kwenye harrier old model
Hiyo engine ni nzuri sana,na kuna baadhi ya Harrier zinatumia hiyo engine...Weka 2AZ FE, cc 2360 utasahau suala la fuel consumption mbaya....Tafuta used ya nje sio ya hapa bongo.
mzskksEbwana nimeona mahali hii gari inauzwa, nipe uzoefu wako ipoje ,changamoto zake n.k
Hio engine pia inalalamikiwa bora 5sWeka 2AZ FE, cc 2360 utasahau suala la fuel consumption mbaya....Tafuta used ya nje sio ya hapa bongo.
Habari zenu wakuu!
Katika pita pita zangu za mtaani nilifanikiwa kununua Harrier 3.0 FOUR kwa rafiki, gari ni nzima kabisa ilikuwa ya kuwasha na kuondoka. Changamoto ni kwenye fuel consumption inakomoa (wastani wa 2.5Km per litre). Maamuzi binafsi niliyofikia ni kubadili engine hii na kuweka yenye consumption inayoendana na kipato (atlest 6km/litre). Nipo Dsm, natafta fundi/mtaalam mwenye uzoefu na hili zoezi kwa gari tajwa anishauri ni engine gani inafaa kufungwa na ikiwa ndani ya uwezo wake nimpe kazi ya kuibadili. Hata kama si fundi ila una ushauri wowote katika hili nitashukru.
Inalalamikiwa kwa ubovu au ulaji wa mafuta. Maana hiyo imefungwa kwenye RAV4 Miss Tanzania,Harrier Old Model ya mwaka 2000,2001 na 2002 na Harrier New Model(kwa Kitanzania ni kuanzia mwaka 2003 a.k.a tako la Nyani), imefungwa kwenye Alphard nk. Je hizo gari wanasema zina shida gani?Hio engine pia inalalamikiwa bora 5s
Mkuu hakuna harriel inakula lita 1 kwa km 3 inayokula sana 3000cc huwa 6km. Angalia nozzle zitakuwa zimwaga mafutaHabari zenu wakuu!