KUB Mbowe anapwaya bungeni?

Simiyu Yetu teh teh, Tanzania bado tuna hazina iliyotukuka ya uzezete uliopitiliza.
 
 
Mmekataa kuruka LIVE ili muendeleze propaganda za kijinga
ishu ya live inawatafuna watu, waligeuza bengini ni sehemu ya maigizo wakiwa kwenyekamati wanakubaliana once wakiingia bungeni wanajua wako live wana kataa mambo ambayo kamatini walikubali mfano muswada Wa gase. ili waonekane wanapinga! bunge liligeuzwa Uwanja Wa kutafuta tension na sifa! Kwa kutorushwa ili kuziba hilo gape piga mzigo Jimbon
 
Kama dhana ni kupunguza matumizi, basi waruhusu vituo vya runninga vya watu binafsi kurusha matangazo. Kuna baadhi ya vituo vipo tayari kurusha matangazo ya Bunge live. Hili tusiweke unazi, serikali ambayo haitaki kunyooshewa kidole ni serikali ambayo haikubali ushauri & mapendekezo ya wawakilishi wa wananchi.
 
Teh teh Hai imepata hati chafu kwenye ukaguzi wa mahesabu Mbowe anashupaa na mambo ya kipuuzi. Upinzani Tanzania bado Sana. Viva PM umemjibu inavyopaswa.
 
Ishu ya uandishi ni nyingine na majibu ni nyingine, usionyeshe ujinda wako.
Mkuu, hawa UKAWA ni vihiyo. Hayo majibu yanawafanya haja kubwa zigonge kwenye chupi na kurejea tumboni. Ndo maana hakuna hata mmoja anagusa hoja zilizoelezwa na PM
 
Duuuh hii nayo kali, kwani vyombo vya habari vimeshindwa kuchukua matangazo vyenyewe mpaka visaidiwe na "mitambo ya kisasa" ya bunge, Mbona bunge linatoa msaada ambao alikuombwa..
 
Kweli we bado unamuamini MTU aliyeuza chadema mpaka Leo? Ukapimwe akili.
Ukapimwe kwanza wewe unaye endelea kukiunga mkono chama kinacho kumbatia majizi ya rasilimali za taifa
 
Teh teh Hai imepata hati chafu kwenye ukaguzi wa mahesabu Mbowe anashupaa na mambo ya kipuuzi. Upinzani Tanzania bado Sana. Viva PM umemjibu inavyopaswa.
Hakika sasa Tanzania tuna viongozi. Rais moto, PM balaa tupu
 
Jiandae kwa kuporomoshewa matusi kutoka kwa Lizaboni na jingalao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…