Jikite kwenye mada usilielieWatu wengine bwana, wameshikwa na report ya CAG na ndiyo habari ya mjini tangu Jana. Waliokerwa na hali hiyo wana haha kuanzisha mijadala kuhusu Mbowe. Watu wote wapuuzeni kwa kwa sasa tujadili report ya CAG hayo mengine tumesha wahi kuyasikia ama tutayajadili wakati mwingine .
Huu ni moja ya udhaifu.Anakusanya vijana wake wanaingia Bungeni wanasaini kwny Register ya mahudhurio I'll wasikose posho wanatoka nje eti wanasusia kuchangia, kesho wanarudi tena! Huu ni wizi na utapeli
Watu wengine bwana, wameshikwa na report ya CAG na ndiyo habari ya mjini tangu Jana. Waliokerwa na hali hiyo wana haha kuanzisha mijadala kuhusu Mbowe. Watu wote wapuuzeni kwa kwa sasa tujadili report ya CAG hayo mengine tumesha wahi kuyasikia ama tutayajadili wakati mwingine .
Du mbona wewe povu la kutoka kama katembea na mkeoHeri ya Muungano wadau.
Nimejiuliza tu,nikaona ni vema pia nipate maoni kutoka kwa werevu wa mambo.Ila mimi kwa upande wangu nimeona ya kuwa KUB,Mbowe amepwaya na abadilishwe ili tupate KUB mbadala mwenye weledi.Na hapa sio jambo la Aibu amwachie Rwakatare Wilfred ambaye alipata kuwa KUB (2000/2005).Japo kulikuwa na ugumu lakini mara kadhaa aliongoza kambi ya upinzani iliyoweza kuwashawawishi wabunge wa CCM kuunga mkono hoja dhidi ya serikali.
Ikumbukwe tu mara kadhaa KUB wa sasa hayupo "consistent" hili linatokana na sababu kwamba yeye kama kiongozi huyumbishwa na mawazo ya wasaidizi wake yaani hana anachosimamia kama kiongozi,ikitokea Lisu,Kubenea,Mnyika wakatoa ushauri(miluzi) hukosa uamuzi.
Kakosa "Focus" na kutengeneza hoja endelevu ili kuleta matokeo na badala yake anajikita na vijihabari na matukio yasiyo na msingi.
Uwezo wake wa kuchimba ripoti na kuwasilisha mada za kitaalam kwenye hadhira ni mdogo..mara nyingi huongea kwa kufoka foka (povu),hana "details" na mambo mengi ya msingi na sio msomaji.
Ni hayo tu,nipo tayari kukosolewa...nimelazimika kuleta haya kwa sababu KUB ni mtumishi wa umma na analipwa kwa kodi zetu.
Sasa si ndio ufurahi wewe kisebengo? Tangu lini umekuwa na huruma kwa vyama vya upinzani?Heri ya Muungano wadau.
Nimejiuliza tu,nikaona ni vema pia nipate maoni kutoka kwa werevu wa mambo.Ila mimi kwa upande wangu nimeona ya kuwa KUB,Mbowe amepwaya na abadilishwe ili tupate KUB mbadala mwenye weledi.Na hapa sio jambo la Aibu amwachie Rwakatare Wilfred ambaye alipata kuwa KUB (2000/2005).Japo kulikuwa na ugumu lakini mara kadhaa aliongoza kambi ya upinzani iliyoweza kuwashawawishi wabunge wa CCM kuunga mkono hoja dhidi ya serikali.
Ikumbukwe tu mara kadhaa KUB wa sasa hayupo "consistent" hili linatokana na sababu kwamba yeye kama kiongozi huyumbishwa na mawazo ya wasaidizi wake yaani hana anachosimamia kama kiongozi,ikitokea Lisu,Kubenea,Mnyika wakatoa ushauri(miluzi) hukosa uamuzi.
Kakosa "Focus" na kutengeneza hoja endelevu ili kuleta matokeo na badala yake anajikita na vijihabari na matukio yasiyo na msingi.
Uwezo wake wa kuchimba ripoti na kuwasilisha mada za kitaalam kwenye hadhira ni mdogo..mara nyingi huongea kwa kufoka foka (povu),hana "details" na mambo mengi ya msingi na sio msomaji.
Ni hayo tu,nipo tayari kukosolewa...nimelazimika kuleta haya kwa sababu KUB ni mtumishi wa umma na analipwa kwa kodi zetu.
Watu wengine bwana, wameshikwa na report ya CAG na ndiyo habari ya mjini tangu Jana. Waliokerwa na hali hiyo wana haha kuanzisha mijadala kuhusu Mbowe. Watu wote wapuuzeni kwa kwa sasa tujadili report ya CAG hayo mengine tumesha wahi kuyasikia ama tutayajadili wakati mwingine .
Watu wengine bwana, wameshikwa na report ya CAG na ndiyo habari ya mjini tangu Jana. Waliokerwa na hali hiyo wana haha kuanzisha mijadala kuhusu Mbowe. Watu wote wapuuzeni kwa kwa sasa tujadili report ya CAG hayo mengine tumesha wahi kuyasikia ama tutayajadili wakati mwingine .
Cha kwako kimekaguliwa?Ungekuwa unajua umuhimu wa CAG ungeshauri chama chako kikubali kukaguliwa na CAG. Unashabikia kusikia halmashauri zimepewa hati chafu wakati chama chako kimekataa kukaguliwa na CAG kwa kutokuwa na taarifa za mapato na matumizi.
Jikite kwenye hoja kijana,hizi siasa za mambo binafsi ni za Lissu achana nazo.Du mbona wewe povu la kutoka kama katembea na mkeo
Congratulations!Hao mkuu wasikuumize kichwa.Wametumwa toka Lumumba wajaribu kwa njia za kupitia mitandao kuwasahaulisha wananchi kujadili hoja nzito za CAG kuhusu taifa linavyoangamizwa kwa ufisadi eti tujikite kwenye hoja dhaifu ya kumjadili KUB wa upinzani bungeni.Wenye mamlaka na ukawa wanaridhishwa na uwakilishi wake wao Lumumba wanahusikaje? Tumejanjaruka na mbinu hizi za serikali na chama chao kuwasahaulisha wananchi kwa hoja dhaifu za vikombe vya babu n.k.Hata hivyo leo serikalini ni sikukuu wanahaki ya kulipwa mara mbili ila wajue wananchi tulishtuka siku nyingi kwa sasa tunajadili nchi inavyozidi kuangamizwa na mafisadi na sio vinginevyo.POLENI SANA.
Kijana mchango wako ni muhimu ili kuboresha siasa za upinzani,tukiacha eti tufurahie sio vema...,hapo umeonyesha dhahiri ya kususa na kuzira sio vema.Haya nakaribisha maoni yako kada.Sasa si ndio ufurahi wewe kisebengo? Tangu lini umekuwa na huruma kwa vyama vya upinzani?
Du mbona wewe povu la kutoka kama katembea na mkeo
mchagga yeyote hasa mmachame hupenda ukubwa hata kama hana uwezoSasa ni dhahiri udhaifu wa Mbowe unaonekana wazi......na hii inasababishwa kwa kutokuwepo kwa Dr Slaa
Hapa tukiondowa CUF vyama vyote vimekiuka katiba.Ila kwa sasa jikite kwenye mada ili tuboreshe kambi ya upinzani.Je Kub Mbowe anapwaya bungeni?Cha kwako kimekaguliwa?
Ndo ukomo wa akili zako ndugu basi usiwaze
Haya ni maneno ya kweli lazima yazingatiwe,hoja za CAG zinakuwa na mashiko bungeni pale serikali isipochukuwa hatua laa sivyo inabidi wajikite kwenye siasa za hoja.Prof Mkumbo aliwaambia wapinzan wakijichanganya kusubili CCM iharibu (ripot ya CAG) ndo wapate chakuongea hii awamu ya tano upinzani utapotea xo usishangae kwa ushaur wako huu mbowe kupotea, upinzani unapswa kujenga hoja mbadala and strategic ones, sina hakika kama jana ulimsikia ZITTO, kama hukuweza itafute hiyo taarfa utaelewa nini nnachozungumza.