Kuasili mtoto

Siku hizi watu wanachakachua mada[emoji12] [emoji12]
 
Siku hizi watu wanachakachua mada[emoji12] [emoji12]

Mada ilivamiwa na watu wenye agenda zao zingine ikabidi tu nami niende na flow....ndo wakatulia kidogo.

Sijui walikuwa wanataka kumrusha roho nani...
 
Mada ilivamiwa na watu wenye agenda zao zingine ikabidi tu nami niende na flow....ndo wakatulia kidogo.

Sijui walikuwa wanataka kumrusha roho nani...
Eeeeh, kumbe mada kama vile ina ubuyu. Ngoja nisome comments zote.kina Mwaj hatupitwagi
 
Eeeeh, kumbe mada kama vile ina ubuyu. Ngoja nisome comments zote.kina Mwaj hatupitwagi

Oohooo we unaishi chini ya mwamba gani?

Siyo kwamba kuna ubuyu...kuna mbuyu kabisa, chambilecho Kiranga.

We mada inazungumzia mambo ya kuasili watoto halafu watu wanakuja na habari zao za kupendana wapi na wapi.

Ila kama nilionekana Slipway basi lazima huo ubuyu nawe utakuwa umeupata ila unajishebedua tu hapa.

Ustaarabu hauuzwi dukani.
 
Oohooo we unaishi chini ya mwamba gani?

Siyo kwamba kuna ubuyu...kuna mbuyu kabisa, chambilecho Kiranga.

We mada inazungumzia mambo ya kuasili watoto halafu watu wanakuja na habari zao za kupendana wapi na wapi.

Ustaarabu hauuzwi dukani.
Hahahhahaha. Pole hamisi, tuta wa ndi ndi ndi hao.we waache tu. Haya turudi kwenye mada[emoji4]
 
Hahahhahaha. Pole hamisi, tuta wa ndi ndi ndi hao.we waache tu. Haya turudi kwenye mada[emoji4]

Sasa...cousin wa Kisura vipi? Mbona hukunitonya? Vibaya hivyo bana....ningeleta hata vijizawadi vya USA baby.
 
Sasa si umeingia kwenye anga zake jamani!

Ni kawaida ya gentleman kulinda himaya yake ati.

Halafu yule mdada mliendeleaje?

Wewe ni mjanja bhana...mwelewa alafu rafiki...alafu JF ni familia...hata kama ni mume, ***** si tunamtolea mbavuniii...mwambie alikosea ku mind....
 
Wewe ni mjanja bhana...mwelewa alafu rafiki...alafu JF ni familia...hata kama ni mume, ***** si tunamtolea mbavuniii...mwambie alikosea ku mind....

Duh..kaka kwani ilikuwa serious kiasi hicho?

Mi mbona niliona kama alikuwa anatania tu?

Anyway..siyo kwamba najua mambo yao au najua kilichopo moyoni au kichwani mwake.

Mi nilidhani alikuwa anatania tu. Nothing serious...but what do I know!
 
Wewe ni mjanja bhana...mwelewa alafu rafiki...alafu JF ni familia...hata kama ni mume, ***** si tunamtolea mbavuniii...mwambie alikosea ku mind....
Am sorry kama umekwazika... Wote hapa tunaburudishana tu kupata changamko la moyo... Never mind take easy

Enhee nambie basi yule mdada na wewe! Au mpaka nikuhonge nini
 


Hapo nakuunga mkono kabisa. .

Ukiasili watoto wenye wazazi au ndugu , jipange sawasawa. .. Kuna kero ndogo ndogo ambazo huongezeka mtoto anavyokuwa.

Nilijaribu kulea mmoja mwenye mama ila walikuwa wanaishi katika mazingira magumu,
Nakiri kwamba rangi zote za kuumiza moyo wangu niliziona. ..


Baadhi ya wazazi /Ndugu huwa wasumbufu sana. Mwishoni inakuwa kama umeasili ukoo mzima. ..
 

Yup..kabisa.

Unaasili mtoto na bila kujijua unakuwa kama umeasili na wazazi wake pia.

Mimi hiyo hapana.

Kila mtu na abebe msalaba wake mwenyewe.

Nitajitoa kwa wale tu wasio na wazazi wala ndugu.
 
Aah... Ndio maana sipati usingizi, kumbe kuna Hamis na Mwajuma wanachombezana hapa?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…