kuanzisha kampuni

kuanzisha kampuni

Joined
Jul 24, 2013
Posts
32
Reaction score
8
ndugu watanzania, mimi Nina wazo la kuendeshwa kiwanda cha kuboresha mazao ya nyuki kwa kuzalisha asali na nta au wax.

hivyo kama upo interested unakaribishwa kwa masharti yafuatayo
kwanza: huwe unaishi DSM
pili: huwe na elimu ya juu katika fani za banking and finance, law, business administration, agriculture science, laboratory science na IT or computer science engineering.
tatu mtu mwenye huwezo wa kununua hisa za kiasi cha Tsh. 500000/
nne: mwenye kujituma na kuwa creativity.

kwa mawasiliano yangu 0784097173

karibu tujenge taifa letu.
 
Back
Top Bottom