Mwalimu Ntuntu
JF-Expert Member
- Jun 3, 2016
- 308
- 285
Habari za Leo wana jukwaa, nina ndoto za kuwa na shule yangu ila kwa sasa natamani kuanza kujua kwanza juu ya Day Care kama foundation ya ndoto zangu!!
Naombeni kujua nahitaji vitu gani ili kuanzisha day care? Mfano nikiwa na eneo/majengo kipi kisheria kinahitajika?? Na je ni wahudumu/walimu au ni waangalizi wa aina gani au wenye sofa gani wanaohitajika kwa Huduma hii? Na je Day Care inatoa huduma zipi hasa? Malezi tu au na kipi zaidi?
Nijuzeni wanajukwaa niijue hii fursa!
Ahsanteni!