Kuanzisha Business Bongo & Mozambique | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuanzisha Business Bongo & Mozambique

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by dizbap, Aug 12, 2011.

 1. dizbap

  dizbap Senior Member

  #1
  Aug 12, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 154
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Dear wana JF!

  Hebu angalieni jinsi ilivyo ukitaka Anzisha Biashara Tanzania na Mozambique na ulinganishe hizo Procedures na Siku! Mimi nina experience pia ya mozambique na ya hapa Tanzania, Maana kote nimefungua Biashara! kwa Tanzania jamani ilikuwa Tabu sana, Hizo Procedures na Days ni zaidi ya 29 Kama ilivyo hapa Doing Business in Tanzania - World Bank Group, Hiyo Gharama ilikuwa zaidi ya hiyo iliyopo hapo ambayo ndio Halali. Mozambique Jamani Ilikuwa fasta than hata walizoandika hapahttp://www.doingbusiness.org/data/exploreeconomies/mozambique#starting-a-business, Gharama pia ilikuwa hiyo hiyo. Jamaa wapo smart mnoo, Vitu vipo katika system hakuna kuchakachua wala nini. Now nipo Bongo na kule Biashara inaendelea salama salmini, Yani hakuna majtro. Hesabu zote zaenda sahihi watu wa revenue wanachukua chao bila tabu. yani nimeacha wasimamizi na mambo yapo shwari. Hapa Bongo nikisafiri tu nikirudi unakutana na Maumivu tu.

  Tusikae na kutegemea hapa hapa tu tujifunze kuangaika huku na kule! Hakuna kitu kigumu wala, watu tu wanapenda kuwatisha watu, Kama una elimu yako na upo na fikira za kutaka maendeleo unaendelea. Tusijazane Kariakoo tu! kuna sehemu nyingi sana vitu havijafanyika, Kama Mozambique bado sana kuna BIashara nyingi hazijafanyika, Mfanye research na mjikite! pia hela yao ni kubwa kuliko yetu 1MT = 60Tsh.

  Tafakari...Chukua Hatua.
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Aug 12, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  very good thread
   
 3. i411

  i411 JF-Expert Member

  #3
  Aug 12, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  u got my attention
   
 4. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #4
  Aug 12, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,689
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  sejam bem vindos a Moçambique
   
 5. M

  MWENDAKULIMA JF-Expert Member

  #5
  Aug 12, 2011
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 961
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Shukran mkuu.Ila hapo kwenye red pamenishtua kidogo,is the reverse not true? Na mkuu upo tayari kutoa msaada(siyo wa pesa) kama mtu yupo interrested kwenda huko?
   
 6. dizbap

  dizbap Senior Member

  #6
  Aug 12, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 154
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Asante kaka! Habari ndio hiyo, jaribu kuangalia kwa web site hii uone xchange rates: http://www.xe.com , Its time for us to move on. Hapa kwetu mafisadi wengi Vijana HATUTOKI.
   
 7. dizbap

  dizbap Senior Member

  #7
  Aug 12, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 154
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Your welcome! Wabongo we got everything!
   
 8. dizbap

  dizbap Senior Member

  #8
  Aug 12, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 154
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Your welcome! Wabongo we got everything
   
 9. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #9
  Aug 12, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu nashukuru kwa kutujuza hilo. Kuna business opportunities gani huko Mozambique? Kama siongei Portuguesa inakuwaje?
   
 10. dizbap

  dizbap Senior Member

  #10
  Aug 12, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 154
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Thanks! Share to anyone you Know please! And if anyone else ana Better Idea than this please lets share, Politics sio Nzuri hata Rostam mmeona ameacha.Lol!
   
 11. dizbap

  dizbap Senior Member

  #11
  Aug 12, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 154
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ndugu yangu kule kuna Opportunities Mingi sana, Jamaa kule hawajafanya vitu vingi sana kama hapa! Ujue sisi hapa tuna hangaika sana so hata kama utafungua DUKA kule la nguo am sure Mbongo utakuwa creative zaidi...Jamaa wao vitu vizuri mpk waende south, vitu kama PUB au kumbi kali za starehe sio mingi sana kama huku. yani kuna alot wajameni. Lugha sio tabu kabisa. Wala usiogope! wapo wanao ongea English. end of the day wewe ni HELA tu.
   
 12. e

  elf miaka Member

  #12
  Aug 12, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dizbap na kuhusu majanga yanayoikumba mozambique inakuaje hapo?wana mipango gani kuyadhibiti?mana nchi ile wawekezaji wengi wakubwa nahisi wanaiogopa kwa ajili ya hofu ya natural disaster,huwa ikipiga inaharibu sana na kuwaacha wananchi ktk hali ngumu
   
 13. MIUNDOMBINU

  MIUNDOMBINU JF-Expert Member

  #13
  Aug 13, 2011
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  mkuu asante sana, kwa dondoo hii.nimeipenda sana.
   
 14. N

  Ndoano Senior Member

  #14
  Aug 13, 2011
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 187
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hizi ndo thread tunazozihitaji zenye kujenga
   
 15. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #15
  Aug 13, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Sawa mkuu nimekupata. Threads kama hizi ndio zinatakiwa zi-dominate JF. Thanks a bunch, mkuu!!
   
 16. Kitoabu

  Kitoabu JF-Expert Member

  #16
  Aug 13, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 5,765
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  Kaka mozambique ya wapi inafaa zaid
   
 17. jebs2002

  jebs2002 JF-Expert Member

  #17
  Aug 13, 2011
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 4,344
  Likes Received: 2,393
  Trophy Points: 280
  @dizbap.
  Asante kwa info, asante mno!
   
 18. Salanga

  Salanga JF-Expert Member

  #18
  Aug 14, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Asante kaka ,mimi ninasoma na hao watu huku nitafanya nao urafiki aiseeeeeeee
   
 19. Mlango wa gunia

  Mlango wa gunia Senior Member

  #19
  Aug 14, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 123
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Noted,thanks :clap2:
   
 20. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #20
  Aug 14, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  WAZO ZURI SANA,tuzingatie yafuatayo:
  -utii wa sheria
  -ukabila
  -Rushwa
  kwa kawaida watanzania tukienda nchi ya watu,huwa tunapeleka ugonjwa wa mdudu Rushwa, e.g Swaziland wameshaaambukizwa

  mimi nimesikia kuna fursa katika secta ya usafiri biashara ni nzuri sana, kusaga na kupaki vyakula e.g Sembe,ngano.
  kuna wahindi/warabu wameenda kufungua kiwanda cha plastics huko huko

  Je ni mji gani biashara ipo nzuri zaidi?
   
Loading...