kuanzia tarehe 1.1.2012 ninajitambulisha rasmi hapa jamvini

Afadhali umwambie ...Tunajivunia hilo

Join Date : 22nd October 2008
Location : UVUNGUNI

Posts : 711

Rep Power : 509

Acha kuchana Mbavu Mwakalinga, nikisoma message yako na huku unapatinana Uvunguni sielewi una maana gani
 
Robot aliwahi kumuhoji Majid kuwa utajuaje kuwa huyu anatumia jina halisi au fake??

Ukiipima vizuri hiyo hoja ya "jina halisi" na "picha halisi" imejificha kwenye mazoea tu ila hamna mantik....

BTW mbona wengi tunajuana tu humu.... Wewe tu!
 
hana ubavu huo angekuwa na ubavu huo kwa nini mwanzoni hakuregister na jina lake halisi
 
tatizo mmezoea picha za kwenye face book,huku jf hz ndo picha zetu halisi ma great thinker bhana,chezeya weweee......
 
tarehe 1.nitaweka jina langu kamili picha yng na wasiliano yng.wadau tuige mfano huu mzuri ili tufahamiane vizuri,kupunguza unafiki[/QUOTE]

Uunafiki mwingi ndo wauona mwaka mpya? Rafiki, nenda fb,
 
nasikitika kuwatangazia kwamba ndugu kimboka ambaye aliahidi kujitambulisha hapa jf kwa jina lake halisi ameaga dunia.inasikitisha sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…