Kuanzia sasa sitatazama ITV

Hilo ni habari tangazo, lazima ulipie. Muulize Pasco wa JF akufafanulie hilo.
 
Acha, tutaangalia sisi, ina maana hujui kuwa supreme leader wenu alimfanyia umbea mengi kwa kikwete?
 
tunakuonea huruma hawawezi kutangaza habari za wasaliti mob.
 
Kuwa na fikra pevu wewe! Lengo la mkutano wenu lilikuwa nini? Lilikuwa kuwahutubia watu waelewe sera zenu au lilikuwa kurushwa na ITV? Je,TV nyingine zilirusha hewani mikutano yenu isipokuwa ITV tu? Jibu haya maswali kabla sijakuja na hoja makini ya kufunga huu mjadala uliouanzisha.
 
Kwanini hawaoneshi habari za ACT? Kama wana hitaji pesa kurusha habari bora waseme...
Hii habari iwafikie na nime watumia email infor@itv.co.tz nasubiri wanijibu hututaki huu ujinga wa kubagua habari.....!

act achen kulia lia mnafkir siasa za tanzania zinaishia mwandiga eee.fanyen siasa watu hata diwan hamna mnataka coverage ya itv!!! huu ni ushenzi wa kupindukia mbna clouds tv na tbc.ccm zinawarusha au kwa sababu watu hawaziamin hizo
 
Ndio ...yalikua na yako hivyo.......

Lakini ilitokea hivyo baada ya TBC ambayo inaendeshwa kwa kodi yangu kushindwa kurusha matukio ya chama chetu
Sasa Mueleweshe msukule mwenzio aliyesema kuwa CHADEMA haikuwahi kulalamika kuhusu TBC.
 
Mangi yuko after money zzk ubahiri wake ndio umemcost,ila azam wanakuja,soon tutasahau zle studio za karne ya 14,na hichi ndicho kinachomfanya babu anakosa amani
 

Sisi ITV tunakiri kuipokea E Mail yako na tumeipuuza kama tunavyopuuza upuuzi mwingine.

Ahsante kwa kuangalia ITV.
 
Sisi ITV tunakiri kuipokea E Mail yako na tumeipuuza kama tunavyopuuza upuuzi mwingine.

Ahsante kwa kuangalia ITV.

Wapumbafu sana hao jamaa,naona wamepost ujinga wao kule @FB.

Walivyomchongea MENGI kwa kikwete, walikuwa wanamaana gani.
Yani wanatukana Mamba kabla hawajavuka Mto.

Waanzishe na wao @TV yao.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…