Kuanzia leo wimbo HAKUNAGA naanza kuuchukia..

Nau-delete kwenye desktop na laptop ya nyumbani,
Desktop ya ofisini,
Mp4 ya gari napo nautoa,
Kisha namalizia na kwenye simu kabisa!!!!
 
Nadokezwa hapa nae atafuata nyayo za Marlow,maana nae aliingia kampeni za kijinga kama hizi,yaani leo unaimba ujinga huu,hata Wanaume nao walipote mara tu baada ya kujingiza kushabikia jitu kupe CCM,hata hao the komedi ndio njia hiyo tena,l
 
Inaonyesha jinsi gani ulivyo na akili pungufu ndugu yangu,
Wasanii watachotafuta ni umaarufu na pesa tu.
ahsante great thinker wa kutanguliza matusi.. mimi nilichosema SUMA LEE anatakiwa afahamu kuwa wimbo wake una mashabiki wenye itikadi tofautitofauti so kwa kuubadilisha na kuuimba mwenyewe kwa kusema HAKUNAGA kama CCM anakuwa anataka mashabiki ambao siyo CCM wasiupende tena. sasa hapo upunguani umetoka wapi. jifunze kutumia maneno stahiki!!
 
chadema nayo inawanamuziki wake kina mr II mkoloni a.k.a vinega sa shida ipo wapi
 
acheni kuwa na roho nyepesi''hamfai kwenye kazi ya mapambano'yawezekana anaganga njaa''nyamazeni kimya''
 
Mkumbukeni Bushoke alichakachua nyimbo zake kuwa za CCM hadi leo watu hawazipigi tena nyimbo zake hizo kajiharibia soko, Huu mtindo wa kuwa msanii ukakosa washauri wa biashara ni tatizo hebu kila msanii awe na meneja wake watafakali hasara wanazo weza kuzipata kwa kufanya kitu kama alichofanya sumalee.
 
KWA KWELI NJAA NI MWANAHARAM, amejimaliza mwenyewe kwa heri hata mimi sitaki kuusikia tena hakunaga hata watoto wangu wanaupenda sasa basi kwaheri buriani hivi wamelogwa na nani hawa wasanii wetu/ tatizo hawana uelewa knoledge hawana they just going kama goigoi huyo ni nape na nina uhakika pesa aliyopewa hata milioni haikufika.
 
kwani mkisusia nyimbo yake mtampunguzia nini... waiteni basi vinega waimbe nyimbo za CDM
 
Sasa mlitaka aimbeje kuwa hakunaga zaidi ya chadema wakati yuko jukwaa la ccm na nyie chadema mualikeni atawaimbia hakunaga zaidi ya chadema!!!
 
Hata ww uktaka anakupgia,hakunaga km cdm hakuna hakunaa,pesa yako hata uktaka akuimbe ww peke yako.ile ni kazi hana chama wala nn.
 
Ccm are just exploiting artists! Huo wimbo nauondoa ktk laptop yangu. Njaa, njaa, njaa ni mbaya sana, unaweza toa shikamoo hata kwa mtoto mdogo sababu tu ya pesa.
 
kuanzia leo natangaza kuacha kufagilia wimbo wa HAKUNAGA kwa sababu mwanamziki aliyeimba wimbo huu SUma lee kaamua kuubadilisha maneno yake na kuwa HAKUNAGA kama CCM (nimeona kweny TV akiwa Mwanza).

umeniboa sana Suma Lee. laiti ungejua kuwa una mashabiki wa aina tofauti tofauti usingefanya kitendo cha kipuuzi kama hiki. umeboa sana

wanamuziki kama huyu Suma lee ni hovyo kabisa. Yaani nami kaniboa sana. Ni ***** kabisa
 
kuanzia leo natangaza kuacha kufagilia wimbo wa HAKUNAGA kwa sababu mwanamziki aliyeimba wimbo huu SUma lee kaamua kuubadilisha maneno yake na kuwa HAKUNAGA kama CCM (nimeona kweny TV akiwa Mwanza).

umeniboa sana Suma Lee. laiti ungejua kuwa una mashabiki wa aina tofauti tofauti usingefanya kitendo cha kipuuzi kama hiki. umeboa sana

Na mimi naufuta sasa hivi ulikuwa kwenye sim yangu na sara hata kuusiki sitaki tena
 
atakufa kifo cha maro. labda aombe Mungu aendelee kubebwa na ccm. hii ameianza kitambo. jmos iloisha alikua tawi la ccm kurasini pale mti mlefu kwa huo huo wimbo.

Tangu lini ccm ikambeba mtu kesho tu watakuwa washamsahau
 
Ukishaanza kuganga njaa na wanaccm bila shaka utakuwa na tabia mojawapo ya zifuatazo: mwizi, tapeli, usiyejali wenzio, mhuni, mjinga asiyeweza kuelimika, tabia nyingine endelezeni jamani
 
Unatakiwa kuuliza 'mheshimiwa vicky kamata (MB) nae aliimba nini'
Kwenu hamna wakubwa? Unajua imemgharimu kiasi gani kufikia hapo? Eboo!
mmuacheni suma lee wa watu agange njaa bana!
na vicky kamata yeye kaimba nini au siku hizi yeye mitu mikubwa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom