Kuanzia leo naacha kula Samaki wa Mwanza

Kuanzia leo naacha kula Samaki wa Mwanza

Haya ni maangamizi ya watu kwa sababu ya maslahi binafsi, huwezi ku drain majitaka ya migodini ambayo yanakuwa yamejaa heavy metals kama mercury moja kwa moja kwenye vyanzo vya maji. Nakumbuka kuna kipindi Tundu Lissu alikuwa anawatetea watu wa kule North Mara walioathirika na kemekali za migodini, na walikuwa wamebabuka ngozi balaa......huwezi kutenganisha haya makemikali ya migodini na kuongezeka kwa magonjwa ya saratani kanda ya ziwa. Jambo kama hilo hawawezi kufanya kwenye nchi zao hata kwa bahati mbaya. Waziri Jaffo aanze ku deal na hao watu wa bonde la ziwa victoria ili hatua kali zichukuliwe mara moja..........
Jafo Kaunda timu lakini nikuhakikishie,utakuja kuniambia pale hakuna kitu timu iyo itasema.

Watasema wavuvi ndio wameweka kemikali ili wapate samaki.
 
Maelfu ya samaki wameonekana wakielea juu ya mto Mara inasemekana wamekufa kutokana na athari za sumu zinazomwangwa ktk mto huo kutoka mgodi wa North Mara.

Serikali ipo wapi?

Hii issue ingetokea Ulaya, sasa hivi ingekuwa issue nyingine.

Serikali haijali afya ya watu wake...kuna faida gani ya kuwa na wawekezaji wanao hatarisha maisha ya raia?
Kuna mkakati mkubwa wa kutupunguza
 
Leo ndio nimegundua kwanini kanda ya ziwa inaongoza kwa kesi nyingi za kansa...na magonjwa ya matumbo.

Maelfu ya samaki wameonekana wakielea juu ya mto Mara inasemekana wamekufa kutokana na athari za sumu zinazomwangwa ktk mto huo kutoka mgodi wa North Mara.

Serikali ipo wapi?

Hii issue ingetokea Ulaya, sasa hivi ingekuwa issue nyingine.

Serikali haijali afya ya watu wake...kuna faida gani ya kuwa na wawekezaji wanao hatarisha maisha ya raia?

No one Cares, kuanzia leo Sato Sangara bye bye.

Kwa taarifa yako 70% ya samaki wanaouzwa Tanzania wanatoka China na ni hao hao sato

Over
 
Inasikitisha sana..rushwa ni tatizo sana..nadhani suala la rushwa ndio tatizo kubwa..cha kushauri tu suala hili la kuruhusu maji kutoka kwenye migodi..sasa lisiwe chini ya mamlaka ya bonde..bado taasisi zifuatazo ziwe na timu ya pamoja na zote zishiriki katika kuhakiki ubora wa maji kabla hayajaruhusiwa kuingia kwenye mazingira.

Timu hii iundwe na watu wa nemc..halmashauri husika..tbs..mamlaka ya bonde..takukuru..ofisi ya mkemia mkuu to name the fewe..ili kuondosha mianya yoyote ya rushwa..mana zipig a rushwa taasisi zote hizo inabidi ujipange haswa.

Ziwa viktoria linazidi kuharibiwa tusipo kuwa makini tuaangamiza vizazi vyetu.

#MaendeleoHayanaChama
Kwann tume ihundwe na hao hao wahusika waliotakiwa kulifuatiliahili swala kwa ukaribu kabla madhara hayajatokea?
 
Utakufa tu hata kama sio kwa kansa
Kifo cha kansa ni mateso..kuuguza mgojwa wa kansa ni gharama..sawa tutakufa je tutakufa katika hali gani..ustawi wa jamii na ulinzi wa afya ya jamii inapaswa kuwa kipaumbele cha kwanza kwa jamii..mana afya ndio msingi wa maendeleo ya nchi.

Tupaze sauti kukemea hili.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hii serikali ya awamu ya 6 ni sawa na ya awamu ya 4 kwani kiongozi ni yule yule (JK). Rais yuko very useless, anataka kila kitu mpaka JK amwambie what to do. Huu mgodi unaharibu mazingira why unakaa kimya na huwachukulii hatua, je unajali kweli afya ya wananchi wako?
Kuna pazia na mlango..nadhani jibu unalo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ndo Yale niliyoyasema sasa,

Jafo Kaunda timu lakini nikuhakikishie,utakuja kuniambia pale hakuna kitu timu iyo itasema.

Watasema wavuvi ndio wameweka kemikali ili wapate samaki.
 
Yale Yale!

 
Back
Top Bottom