Wasemee kwa Mama ( B,Tozo )Leo ndio nimegundua kwanini kanda ya ziwa inaongoza kwa kesi nyingi za kansa...na magonjwa ya matumbo.
Maelfu ya samaki wameonekana wakielea juu ya mto mara inasemekana wamekufa kutokana na athari za sumu zinazomwangwa ktk mto huo kutoka mgodi wa North Mara.
Serikali ipo wapi?
Hii issue ingetokea Ulaya, sasa hivi ingekuwa issue nyingine.
Serikali haijali afya ya watu wake...kuna faida gani ya kuwa na wawekezaji wanao hatarisha maisha ya raia?
No one Cares, kuanzia leo Sato Sangara bye bye.
kwa kifupi tunasema utopoloHuu uzi bila ya picha ya unachookiongea ni uchonganishi tuu
Leo ndio nimegundua kwanini kanda ya ziwa inaongoza kwa kesi nyingi za kansa...na magonjwa ya matumbo.
Maelfu ya samaki wameonekana wakielea juu ya mto mara inasemekana wamekufa kutokana na athari za sumu zinazomwangwa ktk mto huo kutoka mgodi wa North Mara.
Serikali ipo wapi?
Hii issue ingetokea Ulaya, sasa hivi ingekuwa issue nyingine.
Serikali haijali afya ya watu wake...kuna faida gani ya kuwa na wawekezaji wanao hatarisha maisha ya raia?
No one Cares, kuanzia leo Sato Sangara bye bye.
Wote kwa pamojaWspumbafu ni wananchi au viongozi au wote kwa pamoja ni viazi tupu?
Ok[emoji48][emoji48]Wote kwa pamoja
Kasome kitu kinachoitwa bioaccumulation na biomagification ndio uje ukometi kwenye huu uzi.ungekuwa umeso vizuri kuhusu bacteria wanaosaidia sisi kutulinda duniani basi shukuru mungu.
hata unacho jisaidia kumbuka kinaingia kwenye ardhi na kinaungana kwenye maji na hayo maji yatasafishwa na aina ya bacteria ili kuwa salama.
ziwa na bahari vinalindwa hivi
Ndio mana sie twala pweza ngisi kamba..Leo ndio nimegundua kwanini kanda ya ziwa inaongoza kwa kesi nyingi za kansa...na magonjwa ya matumbo.
Maelfu ya samaki wameonekana wakielea juu ya mto mara inasemekana wamekufa kutokana na athari za sumu zinazomwangwa ktk mto huo kutoka mgodi wa North Mara.
Serikali ipo wapi?
Hii issue ingetokea Ulaya, sasa hivi ingekuwa issue nyingine.
Serikali haijali afya ya watu wake...kuna faida gani ya kuwa na wawekezaji wanao hatarisha maisha ya raia?
No one Cares, kuanzia leo Sato Sangara bye bye.
Huko ni nouma kuna magonjwa hatari,sio tuu samaki hata madagaa yao ni hatari kwa afya .Leo ndio nimegundua kwanini kanda ya ziwa inaongoza kwa kesi nyingi za kansa...na magonjwa ya matumbo.
Maelfu ya samaki wameonekana wakielea juu ya mto mara inasemekana wamekufa kutokana na athari za sumu zinazomwangwa ktk mto huo kutoka mgodi wa North Mara.
Serikali ipo wapi?
Hii issue ingetokea Ulaya, sasa hivi ingekuwa issue nyingine.
Serikali haijali afya ya watu wake...kuna faida gani ya kuwa na wawekezaji wanao hatarisha maisha ya raia?
No one Cares, kuanzia leo Sato Sangara bye bye.
Mh wa wapi ni wazuri sasa mkuuLeo ndio nimegundua kwanini kanda ya ziwa inaongoza kwa kesi nyingi za kansa...na magonjwa ya matumbo.
Maelfu ya samaki wameonekana wakielea juu ya mto mara inasemekana wamekufa kutokana na athari za sumu zinazomwangwa ktk mto huo kutoka mgodi wa North Mara.
Serikali ipo wapi?
Hii issue ingetokea Ulaya, sasa hivi ingekuwa issue nyingine.
Serikali haijali afya ya watu wake...kuna faida gani ya kuwa na wawekezaji wanao hatarisha maisha ya raia?
No one Cares, kuanzia leo Sato Sangara bye bye.
Kwani hukumsikia Rais akisema Kanda ya Ziwa inaongoza kwa Kanda hivyo taasisi husika zifanye utafiti kubaini chanzo?Hili suala kama lina ukweli basi ni hatari sana na mamlaka zinatakiwa zishughulikie. Nashangaa kuona comments za kejeli na za kipuuzi zikiandikwa hapa.
Mtoa mada unao uthibitisho wa hicho unachosema?
Huu uzi bila ya picha ya unachookiongea ni uchonganishi tuu
Hapo hao watu wa mgodi wanatembeza Mpunga mrefu sana kwa viongozi hii issue huwa naijua vizur sana.Ina maana environmental impact assessment haikufanyika hadi kemikali za migodi ziweze kuingia kwenye mkondo na kwenda kwenye vyanzo vya maji kwa matumizi ya binadamu na ambamo viumbe mbalimbali ikiwemo samaki wanaotumiwa kama chakula cha binadamu wanakaa.......pollution kwenye maji ya ziwa viktoria ipo juu kutokana na mamlaka kushindwa kusimamia sheria za kimazingira kuzunguka ziwa hilo. Ni wakati sasa mamlaka zisimamie sheria na hao wenye migodi wanyang'anywe leseni na kufilisiwa kwa kuelekeza kemikali kwenye vyanzo vya maji ya matumizi ya binadamu kwa makusudi kabisa, kule kwao hawawezi kufanya hivyo hata kwa bahati mbaya...........