Kuanzia Kesho wote tutakuwa kwenye mfungo ama Kwaresma au Ramadan, Dhambi zitapungua sana!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,113
Tutakuwa na Wakati Mzuri sana Wakati 90%+ ya Watanzania tutakuwa kwenye mfungo ama Kwaresma au Ramadan.

Kiufupi Dhambi zitapungua sana.

Mungu awaepushe Wanasiasa na Dhambi za Maneno, Matendo na Mutotimiza Wajibu.

Mungu wa Mbinguni awabariki nyote. 😃😃
 
sisi waroma tulianza toka tarehe 14 February,maasi hayakupungua?
Au wanaoanza kufungah kesho ndo wazee wa dhambi za kisirisiri na kubadil masaa ya kula
Mtu anaamka saa 9 usiku anaanza kula Kama nguruwe Hadi saa 11 alfajiri
Hivi safari hii tunafungua zaidi ya siku 40?
 
BAKWATA vwameshatangaza?!! Maana serikali inatambua matamko ya BAKWATA yao tu!!
 
Dini hizi za kuja hazitufai, kuongolea maisha ya kusadikika ya baadaye na kututia unyonge kuwa viongozi waliopo duniani ni chaguo la Mungu huyo wa kigeni hivyo tuwasifu,kuwaimbia pambio na kuwatukuza viongozi.
 
Tutakuwa na Wakati Mzuri sana Wakati 90%+ ya Watanzania tutakuwa kwenye mfungo ama Kwaresma au Ramadan

Kiufupi Dhambi zitapungua sana

Mungu awaepushe Wanasiasa na Dhambi za Maneno, Matendo na Mutotimiza Wajibu

Mungu wa Mbinguni awabariki nyote

Mshauri na Mwashambwa, angalao kipindi hiki asilete mada zake zile za kipuuzi kisha akawafanya watu waharibu kwaresma na ramadhani.

Halafu na yeye aingie kwenye mfungo. Unafiki na rushwa ya sifa ni dhambi.
 
Tutakuwa na Wakati Mzuri sana Wakati 90%+ ya Watanzania tutakuwa kwenye mfungo ama Kwaresma au Ramadan

Kiufupi Dhambi zitapungua sana

Mungu awaepushe Wanasiasa na Dhambi za Maneno, Matendo na Mutotimiza Wajibu

Mungu wa Mbinguni awabariki nyote
Ushahidi wa utafiti wako kinyume chake ni majungu
 
Tutakuwa na Wakati Mzuri sana Wakati 90%+ ya Watanzania tutakuwa kwenye mfungo ama Kwaresma au Ramadan

Kiufupi Dhambi zitapungua sana

Mungu awaepushe Wanasiasa na Dhambi za Maneno, Matendo na Mutotimiza Wajibu

Mungu wa Mbinguni awabariki nyote
Acha ujinga
 
Back
Top Bottom