Kuanzia Julai 1, 2021 rasmi CHADEMA wanarejea kwenye ukorofi

Kule Twitter aliniblock huku akinisindikiza na tusi inbox kuwa me msenge na hiyo ni baada ya kukosoa moja ya tweet zake
Kwani si kweli kuwa upo hivyo ulivyoandikaa!!??
Mtu ambaye hayupo hivyo hawezi kuandika hilo neno humu jukwaani.
Hujasingiziwa.
 
CDM wanamjaribu mama, watapata tu wanachotaka si hawajazoea siasa za kistaarabu.
 
Jenga hoja kamanda
Wewe sasa inafaa upate mume akuoe kwa sababu muda wote unashinda hapa na kukesha ukiandika tu upumbavu mwingi usio na maana ili mradi tu ulipwe ujira na kitengo cha propaganda cha ccm. Useless kabisa.
 
Ccm imeiweka nchi kwenye uchumi WA kati maendeleo uliyonayo mpaka elimu yako umesomeshwa na serikali ya Ccm Ebu 2wape ushirikiani viongozi we2 2ache chokochoko na kutumiwa kisiasa.... Waafrika 2tulie ili tutawalike....
Huachi hadith za umalaya malaya?
Kwani CCM chama dola kinasemaje kuhusu kusambaratisha nchi na kavunja katiba kwa kuwakumbatia malaya wa viti maalum wasio na chama?
 
Ndugu zangu,

Baada ya uchaguzi wa mwaka 2005 Freeman Mbowe aliutangazia ulimwegu jinsi alivyohusudu utawala mpya wa Jakaya Kikwete huku akiwaponda wanasiasa wengine kama Prof. Lipumba aliyelalamikia madhaifu ya tume ya uchaguzi. Mbowe na CHADEMA walirukaruka kama ndama wakifurahia Serikali mpya ya "Maisha Bora kwa Kila Mtanzania"

Wakati Serikali ya Awamu ya Tano imeingia madarakani mwaka 2015 siku 100 za mwanzo aliibuka Salum Mwalim akaitangazia Dunia kuwa Serikali ya "Hapa Kazi Tu" kwa asilimia 100 ilitekeleza sera za UKAWA.

Na sasa ndani ya siku mia moja za Rais Samia makamanda ghafla wanalazimisha kuonekana wenye furaha, wakigonga tano wakiamini Serikali ya "Kazi Iendelee" inatekeleza sera zao.

Vituko haviishi hadi kufikia tarehe 1.7.2021 tutaanza kuona na kusikia mitambo ya matusi ikiwashwa upya dhidi ya Serikali ya Rais Samia (CCM) na hapa rasmi Chongolo na Shaka nao wataanza kusakamwa na makamanda kama ilivyokuwa Dr. Bashiru na Polepole walipotekeleza majukumu ya kuhakikisha CCM inaendelea kushika dola.

Muda utasema!
Uliona nini hasa hata ukatabiri hili? Watu mna vipaji vya kuona yajayo.
 
Ccm imeiweka nchi kwenye uchumi WA kati maendeleo uliyonayo mpaka elimu yako umesomeshwa na serikali ya Ccm Ebu 2wape ushirikiani viongozi we2 2ache chokochoko na kutumiwa kisiasa.... Waafrika 2tulie ili tutawalike....
Tuwape ushirikiano walipwe mishahara isiyokatwa kodi na matanuzi juu?
 
Back
Top Bottom