Asante kwa ujumbe mzuri unao tia moyo , wengi wetu tunatamani mno kuanza moja baada ya kuona tunakoelekea hatufiki kwa wepesi ila ndio tunaogopa!Hadi sasa bado najitafuta, na ninakutia moyo usijichoke, endelea kujitafuta na ikibidi kuanza moja Anza tu maana kupotea njia ndio kujua njia
Naomba b. Plan hiyo bro 😋Kabla ya COVID-19 kuna biashara nilikua nafanya iliniendea vizuri hadi nikasema nataka kuacha Utumishi wa umma
Mkuu bado upo Tanga.Nakumbuka niliwahi kuwa na kaduka kule barabara za namba Tanga mjini🤣🤦♀️ Mwanzoni kalinipa heshima kidogo angalau pesa ya mboga nyumbani haikukosekana, angalau kipindi mambo ya mishahara yanasumbua basi kifaida kikawa kinakidhi mahitaji...
Oooh i ll be in Tanga, waja leo waondoka leo, makorora, kwa njeka, duga, mabovu, sahare, ngamiani, mabanda ya papa, bombo, raskazone, Tanga beach resort, nyumbani hotel, majani mapana, kwa michi, nguvu mali.....Niko Manyara mara moja
😅😅Karibu sanaOooh i ll be in Tanga, waja leo waondoka leo, makorora, kwa njeka, duga, mabovu, sahare, ngamiani, mabanda ya papa, bombo, raskazone, Tanga beach resort, nyumbani hotel, majani mapana, kwa michi, nguvu mali.....
😅😅😅 anyway Tanga nimepamiss sana.