KUANZA KWA USAFIRISHAJI WA MIZIGO KUTOKA BANDARI YA DAR ES SALAAM KWA KUTUMIA RELI YA KATI

TPA kupost matangazo humu ni kuvunja sheria. CEO amelala segerea nyinyi mnapost matangazo humu ili iweje sasa?
 
TPA hamjajibu swali langu la ni kiasi gani nalipa kwa Tani 1
Na je inatumia muda gani kufika mwanza
 
[QUOTMaelezo, post: 18936635, member: 67690"]Mzigo utatumia siku ngapi kufika Mwanza? Na gharama kwa Tani?[/QUOTE]
Soma Maelezo kamili hapo juu Mkuu
 
Hivi kweli nyie watu wa TPA mtauweza ushindani kweli!? Nasikia mtu akiomba invoice za kulipia mzigo saa nyingine zinaweza kutoka baada ya masaa 48 (arobaini na nane)! Huu sio utani wala uzushi bali ni kweli.
Sasa mnadhani kuna Mzambia, Mmalawi au Mkongo achana na sisi wenyeji atakayekubali kuishi hotelini siku mbili za ziada kwa ajili ya kusubiria invoice ili alipie na saa nyingine kupelekea gharama za ziada (storage)!
Bado mnasuasua sana na haya mambo wateja wa bandari ya Dar es Salaam wanayajua vizuri.
 
Back
Top Bottom