KUANZA KWA USAFIRISHAJI WA MIZIGO KUTOKA BANDARI YA DAR ES SALAAM KWA KUTUMIA RELI YA KATI

Root

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
37,300
2,000
Mzigo utatumia siku ngapi kufika Mwanza? Na gharama kwa Tani?
 
R Mbuna

JF-Expert Member
Dec 30, 2015
2,162
2,000
poleni wenye malori
Mkuu wenye malori wataendelea kupiga kazi tu kwa sababu hiyo reli ya kati kipindi cha mvua yaani maeneo ya kilosa haipitiki. Then ina majanga sana huko mbele mimi nilisafiri na train ya abiria ile deluxe wenyewe ndio wanaiita express lakini tulitumia siku tatu kufuka Dar ilibidi tufaulishwe kwenye mabasi.

Hivyo kwa hao wateja wenye hizo kasha/kontena zao wawe wavumilivu tu kwa sababu hizo ratiba zao hazipo specific kama wanavyopromote.

All in all tunawaomba wafanye construction ya kutosha kwenye hiyo reli ya kati ili tusirudi nyuma kwenye hizi juhudi za kuboresha huduma za reli.
 
24hrs

JF-Expert Member
Dec 8, 2016
2,599

kwa maana hiyo zile kampuni pendwa za malori dili zao bado hazijakauka kwa hivo vigezo......
 
stephot

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
10,797
2,000
Hongereni sana,angalizo,mzigo mwingi umekuwa ukisafiri kwa kutumia barabara,sasa wajiandae kwa sabotage,sijui wamejipanga vipi kwa hilo.
 
R Mbuna

JF-Expert Member
Dec 30, 2015
2,162
2,000
kwa maana hiyo zile kampuni pendwa za malori dili zao bado hazijakauka kwa hivo vigezo......
Kazi zipo pale pale ili TRL waweze kufanya kazi kwa ufanisi watengeze miundombinu ya reli ya kati kwa ufanisi. Lakini kwa hii iliyopo sasa hivi wataondoka na container mbili hapa bure.Maana hawa wateja wetu wanataka mizigo yao ifike kwa wakati.
 
Mhadzabe

JF-Expert Member
May 20, 2009
2,837
2,000
Haya mambo ndio tunayataka. Serikali iimarishe reli hasa katika maeneo ya kilosa , Gulwe mpaka Dodoma ili uwe usafiri wa uhakika si kwa Gari Moshi ya mizigo tu bali hata la abiria. Nguvu ziwekwe zaidi katika reli kuliko kuwekeza zaidi katika sekta ya usafiri wa anga kama hatua za kukuza uchumi wa ndani wa nchi. TPA
 
24hrs

JF-Expert Member
Dec 8, 2016
2,599
2,000
Kazi zipo pale pale ili TRL waweze kufanya kazi kwa ufanisi watengeze miundombinu ya reli ya kati kwa ufanisi. Lakini kwa hii iliyopo sasa hivi wataondoka na container mbili hapa bure.Maana hawa wateja wetu wanataka mizigo yao ifike kwa wakati.
ni kweli icho unachosema ila pesa ya mkopo kutoka china exim bank 16 billion dollars bado hazijafika ama maana mradi unatakiwa uanze mwakani......
 
R Mbuna

JF-Expert Member
Dec 30, 2015
2,162
2,000
ni kweli icho unachosema ila pesa ya mkopo kutoka china exim bank 16 billion dollars bado hazijafika ama maana mradi unatakiwa uanze mwakani......
Huo udadisi wenu ndio unasababisha watu watake kuifungia Jamiiforum.com so kuwa mpole tu wakiamua watafanya bila kuambiwa. Watu hawapendi kukumbushwa wala kukosolewa .
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom