Hii kali, lakini kwangu mimi mpaka sasa haijangia akilini ni kwa nini wamemtosa bwana six, hii nchi kwa jinsi inavyoendeshwa, wananchi tusipobadilika , tutaendelea kuishi maisha ya shida sana na kula mlo mmoja kila siku huko mitaa ya Buguruni, tandale, Mabatini mpaka tukome na huko vijijini tutaendelea kulala kwenye nyumba za mbavu za fisi mpaka basi.Just listen, mtu anakwambia nipe mtoto nikusomeshee na nitampa elimu bora kabisa na siyo bora elimu, nitakupungizia gharama za mabati na cement kwa asilimia 67% means from 15000Tsh - 5000Tsh, still mtu unakataa kumpa mtoto wako na unataka kuendelea kuishi kwenye makaazi duni kabisa, sasa sisis ni watu au? tunatumia akili zetu kufikiri au ? halafu hata mwezi haushi mnanza kupigia ndugu zenu simu huko mjini eti mwanangu anapungua na ada naomba uniongezee ili nimpeleke shule, kweli jamani? shame up on you.
Waache watakula joto ya jiwe