Elections 2010 KUANGUSHWA: Jinsi Samwel Sitta alivyotoswa kwenye Uspika

Hii kali, lakini kwangu mimi mpaka sasa haijangia akilini ni kwa nini wamemtosa bwana six, hii nchi kwa jinsi inavyoendeshwa, wananchi tusipobadilika , tutaendelea kuishi maisha ya shida sana na kula mlo mmoja kila siku huko mitaa ya Buguruni, tandale, Mabatini mpaka tukome na huko vijijini tutaendelea kulala kwenye nyumba za mbavu za fisi mpaka basi.Just listen, mtu anakwambia nipe mtoto nikusomeshee na nitampa elimu bora kabisa na siyo bora elimu, nitakupungizia gharama za mabati na cement kwa asilimia 67% means from 15000Tsh - 5000Tsh, still mtu unakataa kumpa mtoto wako na unataka kuendelea kuishi kwenye makaazi duni kabisa, sasa sisis ni watu au? tunatumia akili zetu kufikiri au ? halafu hata mwezi haushi mnanza kupigia ndugu zenu simu huko mjini eti mwanangu anapungua na ada naomba uniongezee ili nimpeleke shule, kweli jamani? shame up on you.

:A S angry::A S angry: Yaani we acha tu,huwezi amini,kuanzia NJIA YA UZI huko ZENJI mpaka vitongoji vya KATERERO KAGERA huko ni umaskini wa kutupwa,watu wanatumia hizi posters za chagua kikwete kama MAPAZIA,lakini ajabu na haohao wanaompatia ULAJI muungwana na group lake,hii MIAFRIKA sijui ina tatizo gani wallah???
 
Kweli CCM ni Kiboko yaani leo SIX ana kula kiapo huku amesimamiwa na aliyekua naibu wake?
Yaani hata kumwangalia Makinda usoni anaona aibu!Kweli hii ndo Tanzania uijuavyo!Hao kina EL na Vijicent nawachukia kuliko maelezo sijui kwanini wasi ugue ugonjwa mbaya tusiwaone kabisa bungeni

Sitta na hao unaowasema ni wale wale!! Tatizo Sitta alitaka kuwazidi wenzake kwa kujidai yeye sio fisadi, kumbe kavaa ngozi tu lakini ndani ni fisadi, kwa hiyo alichopata ni mshahara wa unafiki!!
Tatizo mnasahau mapema sana, ni hoja ngapi za kupinga ufisadi aliziua mwishoni tukabaki midomo wazi, au mlifurahia alipozirukia zimpe sifa lakini mwisho akaziua?
 
Kaka kwenye hiyo list kuna wale wenye kura ya VETO ndo walomuweka na sasa wameamua kumchomoa.ni Edward Ngoyai LOWASSA na Rostam Abdul rasul AZIZ. Mwaka 2005 SITTA hakuwa na nguvu ya kumtoa Mzee Msekwa wakamuweka sasa akajisahau akajifanya mtetezi wa wanyonge, wenye CCM sasa wamemtoa,
 
Nyie ndo makuhani wa mafisadi, watu tunapambana na mafisadi toka dini zote refer (Rostam & Lowassa), we unaanza kujadili dini za watu eti ndo chanzo cha matatizo, EPA,Richmond, nipe mfano wa wizi ulofanywa na watu wa dini moja, kipindi cha Rais gani Tanzania haikuyumba nenda vijijini kaulize kama Dini ya RAIS imeshawahi kuwaletea umeme au maji, Kama unaamini Dini ya Rais ndo chanzo cha matatizo ya Nchi kama Rwanda,Burundi,Kenya, Zambia,Mosambique zisingeyumba. Kama bado unamawazo ya Dini ya mtu ndo chanzo au solution ya Tatizo ulipaswa kuwepo Dunian Karne kadhaa ZILIZOPITA. Usiturudishe nyuma.
 
Nimekubamba sijakubamba enhe ulikuwa unasemaje sema sasa...

:smile-big::smile-big::smile-big:

Sam: Da dogo noma sana weye si ungekauka nami nimalizie malizie asa ile ofisi kule urambo nitafanya nayo nini?
Andy: Bro sio mimi mamvi na wenzie walinichimba biti nikuharibie bro; lakini mie siko kiivo kabisa!
 
Makosa yameshafanyika lakini ni vyema kuangalia ni wapi Mh Sitta alifanya makosa. Inaonekana wazi kabisa CCM walimweka kwenye target huyu mkuu na yeye bila kuwa makini akaingia kwenye mtego.

Sitta alifikia sehemu akawa the strongest person kwenye chama chake, huwa tunasema akakiweka chama mkononi mwake, badala ya kusonga mbele akakubali kurudi nyuma, this was a major, major mistake. Sitta alitakiwa awe destructive as much as he could, yeye aliruhusu maamngamizo ya Lowasa na wengine yet badala la kuhakikisha wamekwisha kabisa kisiasa akawaacha. Nini alitakiwa afanye Sitta?

Sita alitakiwa asimamie kuangamizwa kwa CCM kwa njia tofauto tofauti. Kwanza Alitakiwa kuruhusu hoja kali kabisa ikiwemo kuwafilisi mali zao zote kina Lowasa na system nzima maana wabunge walikuwa kitu kimoja wakati ule. Aidha angeruhusu serikali kutiwa hatiani kwa makosa yote na hapo angepata public support zaidi na zaidi. Kama angeendelea kubaki CCM bila kufukuzwa angechukua fomu kugombea kuteuliwa kugombea uraisi, wangemnyima angetimkia CHADEMA naamini wangemwachia agombee na nina uhakika CCM ingeangamia tu.

Sasa ona mafisadi wanavyomsulubu mzee wa watu, dah pole sana,
 
Tanzania's parliament elects first female speaker

Fri Nov 12, 2010

* New speaker promises impartiality

* Gender card was ploy to get rid of predecessor - analyst

DAR ES SALAAM, Nov 12 (Reuters) - Tanzania's first female parliamentary speaker promised to build a strong legislature that favours no single party on her election on Friday.

Anne Makinda replaces Samuel Sitta, who had encouraged the national assembly to debate official corruption.

"I will be politically impartial and I believe that it is the obligation of the speaker of the national assembly to be so," Makinda told parliament, after winning 74 percent of the votes in the 327-member parliament.

Some analysts and opposition politicians said Sitta had paid the price for his strong anti-graft stance. The ruling Chama Cha Mapinduzi party (CCM, or Party of the Revolution) said its decision was based on gender.

Mabere Marando of the opposition Chadema party polled 16 percent of the vote for speaker, a figure who can drive the policy agenda and chairs debate on issues such as recent corruption allegations.

President Jakaya Kikwete, who has been criticised for the slow pace of reform in the fight against corruption, pledged cooperation with Makinda in a congratulatory message. [ID:nLDE6A714F]

"It's an honour for Chama Cha Mapinduzi, you have inspired women and given them the spirit and enthusiasm to work efficiently and professionally in their efforts to assume different decision-making positions," he said.

"CLEVER PLOY"

Some commentators said Sitta, whose name was dropped from the ruling party's list of candidates, was barred in favour of others who would toe the party line and protect CCM's interests in parliament.

"This suggests that the group within CCM, which pushed Sitta out of the way because of his strong anti-corruption stand, is very powerful," political analyst Azaveli Lwaitama told Reuters.

"They tried to be very crafty by claiming the moral high ground that the matter was not removing Sitta, but appointing a woman speaker. It was a very clever ploy on their part."

Others said real debate in parliament would only thrive under a new constitution given the extent to which CCM, in power since it won independence in 1961, dominates politics.

No formal steps towards a new constitution have been made in the country, Africa's fourth largest gold producer and east Africa's second largest economy.

Opposition parties made modest gains in the Oct. 31 general election, winning more seats in a vote marred by a record low turnout. CCM holds 251 seats in parliament.

"We are operating in a multi-party system, but under a one-party format," said Dar es Salaam-based rights activist Ananilea Nkya. "Tanzania needs to adopt a new constitution in order to be able to make meaningful reforms."

Tanzania's parliament elects first female speaker | News by Country | Reuters
 
Anavuna alichopanda. Ukipanda mchicha huwezi vuna bangi. Ukipanda Nyanya huwezi vuna pilipili.
Tulimshauri sana hakusikia. Wacha apate.
 
Nakataa vibaya sana. Sitta kilichomuua na ndo kitampoteza katika siasa ni zile Rchmond na kutosikia ya CC. Kwanza walikuwa wanakosa tu kumng'oa hata sikuzile kwa sababu watu walikuwa wameshaona jamaa anafanya kitu kizuri.

Walimkalisha na kutaka kumnyang'anya kadi.

Baada ya kumaliza mda hakukuwa na jinsi angerudi kitini. na kutibitisha hilo wammeamua kuacha kabisa kuteua wanaume. ili wapumzike.

Uking'atwa na nyoka, Hata majani unaogopa
 
Anavuna alichopanda. Ukipanda mchicha huwezi vuna bangi. Ukipanda Nyanya huwezi vuna pilipili.
Tulimshauri sana hakusikia. Wacha apate.
Yaani yeye pona yake ni kuhama chama, kitu ambaco kwake hawezi, yeye s uppoturnist. Hicho si alichopanda, labda kama ukisema kuwa alipanda hicho kwa kutowasikiliza akina Komredi JK na makamba
 
Maskini mzee wa watu alijifanya kuhurumia chama ambacho hata nyerere alishasema sio baba wala mama yake(unafiki wa ki ccm umemponza)
 
Makosa yameshafanyika lakini ni vyema kuangalia ni wapi Mh Sitta alifanya makosa. Inaonekana wazi kabisa CCM walimweka kwenye target huyu mkuu na yeye bila kuwa makini akaingia kwenye mtego.

Sitta alifikia sehemu akawa the strongest person kwenye chama chake, huwa tunasema akakiweka chama mkononi mwake, badala ya kusonga mbele akakubali kurudi nyuma, this was a major, major mistake. Sitta alitakiwa awe destructive as much as he could, yeye aliruhusu maamngamizo ya Lowasa na wengine yet badala la kuhakikisha wamekwisha kabisa kisiasa akawaacha. Nini alitakiwa afanye Sitta?

Sita alitakiwa asimamie kuangamizwa kwa CCM kwa njia tofauto tofauti. Kwanza Alitakiwa kuruhusu hoja kali kabisa ikiwemo kuwafilisi mali zao zote kina Lowasa na system nzima maana wabunge walikuwa kitu kimoja wakati ule. Aidha angeruhusu serikali kutiwa hatiani kwa makosa yote na hapo angepata public support zaidi na zaidi. Kama angeendelea kubaki CCM bila kufukuzwa angechukua fomu kugombea kuteuliwa kugombea uraisi, wangemnyima angetimkia CHADEMA naamini wangemwachia agombee na nina uhakika CCM ingeangamia tu.

Sasa ona mafisadi wanavyomsulubu mzee wa watu, dah pole sana,

umsema sawa isipokuwa hapo kwenye bold tu ndio umechemka. after all asingefanya makubwa sana hata kama angetaka kuwaangammiza kabisa kina lowasa. kumbuka uspika wake kaupata kwa kadi ya ccm, wakichukua kadi yao, angelegea kama jibwa chakavu lisilo na meno. huyu mzee alitakiwa kupumzika. siasa za bongo haziwezi. we rejea historia yake anakosana na kila rais, nyerere alikosana naye akamweka bench, mwinyi alimjaribu alipomuona mzigo akamweka pembeni, mkappa ndo kaabisa alimwogopa kama ukoma, kikwete kalogwa akkamwingiza kwenye mtandao wakampa uspika, cheki alivyochemka, kazidiwa hata na mwanamke makinda! 6 ni mchemfu daima , amezeeka sasa akapumzike alee wajukuu. mwambie achukue na mkewe aende naye. period!
 
Maskini mzee wa watu alijifanya kuhurumia chama ambacho hata nyerere alishasema sio baba wala mama yake(unafiki wa ki ccm umemponza)

JAmani lazima tuwe wakweli, baada ya kuweka hadharani na kuifanya issue ya ufisadi kuwa ya taifa, Makamba na JK pamoja na mafisadi wooote walishasema harudi. Hivi kumng'oa Lowassa unafikiri ilikuwa tena arudi tena? wapi.
Kwa hiyo yeye katusaidia sisi kujua ufisadi mwingi na sasa tutasikia bombani tu
 
Sitta kama kweli ni jasili na anaukataa ufisadi; inambidi ahame CCM, uitihshwe uchaguzi mdogo katika jimbo lake, na yeye agombee kutoka chama atakachohamia.Bila kipingamizi atashinda na kurudi bungeni akiwa kambi ya upizani; hapo ndipo ataweza kuendeleza mapambano ya ufisadi!! Bila kuhama CCM hataweza kupambana bali MAFISADI ndiyo watammaliza kabisa.
 
KWELI STA ALIKIWEKA CHAMA PABAYA. LAZIMA ANYWE CHUNGU. aPENDE ASIPENDE. MAKOSA NI YAKE . KAKUNA WA KUMSAIDIA. AILIDHANI WENZIE WANGELALA. LA HASHA.

WALI ASIPOTEE VIWANJA VYA BUNGE
WAANDISHI WA HABARI KULENI SAHANI MOJA ASEME KILICHOMSIBU
 
na bado wengine watamfuata. SAsa hivi akiamia CHADEMA hatumtaki, maana amesubili mpaka wamemshusha thamani hao mafisadi. Yeye kama anayo akili muda bado anao, na isitoshe angegombea kupitia chadema tokea kipindi kile sasa angekuwa anagalau LAKINI MAFISADI WAMEMLEGEZA MZEE WA WATU.

Hana ujasiri wa akina sendeka, na kifupi hawezi kuonekana tena.
Pole 6, hapo sina la kukushauli yaache mambo yaende kama yalivyo.
Kakwo siku ZIMEGANDA AKYAMUNGU
 
Msopendezwa na lolote afanyalo Lowassa.......Wayahudi walimsulubu Yesu,Mungu akamfufua!!! I mean mtachonga sana lakini mwisho mtalala!
 
Makosa yameshafanyika lakini ni vyema kuangalia ni wapi Mh Sitta alifanya makosa. Inaonekana wazi kabisa CCM walimweka kwenye target huyu mkuu na yeye bila kuwa makini akaingia kwenye mtego.

Sitta alifikia sehemu akawa the strongest person kwenye chama chake, huwa tunasema akakiweka chama mkononi mwake, badala ya kusonga mbele akakubali kurudi nyuma, this was a major, major mistake. Sitta alitakiwa awe destructive as much as he could, yeye aliruhusu maamngamizo ya Lowasa na wengine yet badala la kuhakikisha wamekwisha kabisa kisiasa akawaacha. Nini alitakiwa afanye Sitta?

Sita alitakiwa asimamie kuangamizwa kwa CCM kwa njia tofauto tofauti. Kwanza Alitakiwa kuruhusu hoja kali kabisa ikiwemo kuwafilisi mali zao zote kina Lowasa na system nzima maana wabunge walikuwa kitu kimoja wakati ule. Aidha angeruhusu serikali kutiwa hatiani kwa makosa yote na hapo angepata public support zaidi na zaidi. Kama angeendelea kubaki CCM bila kufukuzwa angechukua fomu kugombea kuteuliwa kugombea uraisi, wangemnyima angetimkia CHADEMA naamini wangemwachia agombee na nina uhakika CCM ingeangamia tu.

Sasa ona mafisadi wanavyomsulubu mzee wa watu, dah pole sana,

Ninaomba tu Mungu suluba hiyo iishie hapo, wasije kuishia kumtwanga risasi kama kina Prof Mwaikusa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom