kama ndiyo hivyo miji kama detroit isingeporomoka. ni kweli tunaweza kuwa kwenye informatuion age lakini mahitaji makubwa ya watu ni tangible things.Your conclusion is far removed from your heading.
People are moving towards a knowledge economy now.Ndiyo maana hata hii internet unayotumia imeanzishwa na Wamarekani baada ya wao kuona habari za uzalishaji tuwaachie nyie dunia ya tatu huko huku tunatumia brains kwa sana.
kama ndiyo hivyo miji kama detroit isingeporomoka. ni kweli tunaweza kuwa kwenye informatuion age lakini mahitaji makubwa ya watu ni tangible things.
marekani inaanguka kwa kasi sana. saahizi makampuni makubwa ya technology yanaenda fanyia kazi india na china. marekani imebakiwa na biashara ya fedha tu ambayo nayoyo inaloose kwa kasi.
7748Detroit is expendable. And the global forces of demand and supply will make that city rise again. Already there is talk of Chinese investors gobbling up cheap properties in Detroit.
Sikatai kwamba matumizi makubwa ya watu ni tangible things. Lakini uchumi wa sasa unavyokwenda it is expensive to produce hivi vitu US kwa sababu US kuna labor laws na human rights,
Kwa hiyo hizo habari atapelekewa China ambaye hajali labor laws wala human rights huko, atengeneze vitu cheaply. Adam Smith stuff a la "comparative advantage" from "The Wealth of Nations".
Marekani watu wanachogundua leo kuelea kiuchumi mpaka ukija kukisikia huko ni miaka mitano mijayo mpaka kumi.
Kwanza dunia nzima inatumia hela ya Mmarekani kufanya biashara. Hilo tu linampa upper hand katika international trade.
yanamilikiwa na wamarekani na hata yangekuwa US yangekuwa yanamilikiwa na marekani na kutengeneza ajira kwa wamarekani. fikiria kampuni inaondoka na kuacha watu 2,000 bila ajira. hata kamabado linamilikiwa na mmarekani bado ni hasara kwa nchi.Hivi hayo makampuni makubwa yanamilikiwa na akina nani?
7748
hicho kwenye red ndiyo wanajivunia lakini data zinaonyesha kila mwaka wanaloose vibaya sana kwa yuan na EURO.
Marekani haianguki leo wala kesho.
yanamilikiwa na wamarekani na hata yangekuwa US yangekuwa yanamilikiwa na marekani na kutengeneza ajiea kwa wamarekani. fikiria kampuni inaondoka na kuacha watu 2,000 bila ajira. hata kamado linamilikiwa na mmarekani bado ni hasara kwa nchi.
Ngumu kumeza, lakini historia hujirudia kwamba empire au super power zilizokua na kutukuka kwa kiwango cha juu hatimaye ziliporomoka (the rise and fall empires - Great powers).
Fact is, America is the world's only super power.
Ila najua hilo nalo kwako ni gumu kumeza.
On the United States
- From the Civil War to the first half of the 20th century, the United States' economy benefited from high agricultural production, plentiful raw materials, technological advancements and financial inflows. During this time the U.S. did not have to contend with foreign dangers. From 1860 to 1914, U.S. exports increase sevenfold and result in huge trading surpluses.
- By 1945, the U.S.' economy enjoyed both high productivity and was the only major industrialized nation intact after World War II.
- From the 1960s onwards, the U.S. saw a relative decline in its share of world production and trade.
- By the 1980s, the U.S. experienced declining exports of agricultural and manufacturing goods.
- In the space of a few years, the U.S. went from being the largest creditor to the largest debtor nation.
- At the same time the federal debt was growing at an increasing pace. This situation is typical of declininghegemons.
sijajua kwanini unasema kama ''Euro itakuwa ni alternative they have nothing much to fear''. ukweli ni kuwa huko tunakoenda hakutakuwa na pesa ya nchi moja kuwa dominant. kutakuwa na Euro, dollar na yuan. na kama unavyojua Euro ina maslahi ya nchi nyingi ni kazi kuwamanipulate.If the Euro is the alternative, they have nothing much to fear.
United States of Amerika ya jana si hii tunayoiona leo.
Wakati ilikuwa exporter mkubwa leo Marekani ni importer.
Kumbuka impact kubwa inatokea uchumi wa nchi ambazo zilikuwa soko kwa bidhaa za marekani na sasa nchi hizo haziko tayari kusupply raw material bali products.
Hili linahitaji kwa wenye jicho la kuona mbali zaidi maana wengine wanapima kile ambacho kinaonekana kilichokwisha fanya wakati uchumi umetengamaa.
Hali hili iliikubwa pia dola ya kirumi kwa ndugu zetu waitaliano kufikia hatua ukiwa na shilingi kumi za Tanzania utahitaji kiroba cha kubebea change utakazozipata za kiitaliano.
Sasa angalia sarafu ya Marekani ni chini ya sarafu ya mwingireza na euro ya mataifa ya ulaya ambapo wakati mataifa hayo yalipokuwa yanaungana Marekani likuwa ikikejeli.
sijajua kwanini unasema kama ''Euro itakuwa ni alternative they have nothing much to fear''. ukweli ni kuwa huko tunakoenda hakutakuwa na pesa ya nchi moja kuwa dominant. kutakuwa na Euro, dollar na yuan. na kama unavyojua Euro ina maslahi ya nchi nyingi ni kazi kuwamanipulate.
sijajua na nahisi itakuwa kubwa kuliko US ila nachojua unemployment rate china inapungua kila mwaka.
unemployment rate sio technical term kwamba mtu asijue. inawezekana unemployment rate ya marekani inapungua lakini si kwa kiwango ambacho ingepungua iwapo wangekuwa hawaloose biashara China, korea, Japan nk.Na ya Marekani haipungui?
Na unajua hata unemployment rate ni nini wewe?