Kuanguka kwa JK Jukwaani, Hofu ya Kushindwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuanguka kwa JK Jukwaani, Hofu ya Kushindwa?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Buchanan, Aug 24, 2010.

 1. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #1
  Aug 24, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  1. Mpaka sasa kumekuwa na maswali mengi kuliko majibu kuhusu kuanguka kwa JK jukwaani, hasa nyakati za uchaguzi.

  2. Kama kawaida wanasiasa Watz walishapata majibu hata kabla ya JK kuzinduka alipokuwa amezimia, tukaambiwa kwamba eti ni habari ya swaumu! Kwa wale mliofuatilia hotuba ya JK siku ya tukio tarehe 21/08/2010 mtakubaliana nami kuhusu alichosema Luteni Makamba wakati JK akipewa huduma ya kwanza. Kama ni habari ya swaumu pekee kwa nini hatuoni walalahoi ambao maisha yao ni magumu, hawajui hata kesho itakuwaje, wakidondoka ovyo wakati huu wa mfungo!

  3. Kwa kuwa watu wenye BP za kupanda au kushuka huwa wanazimia wakati kunapokuwa na hofu fulani (kushindwa ikiwa mojawapo), kuna uwezekano mkubwa kwamba JK nahofia kukaa maisha ya nje ya Ikulu wakati atakapokuwa anampisha Daktari mwenzake Willbrod!
   
 2. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kwa kifupi JK ni mgonjwa angekuwa na washauri wazuri wangemwambia astep down watakuja sababisha mambo ya kama Nigeria apa.
   
 3. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,636
  Likes Received: 4,746
  Trophy Points: 280
  K i f a f a
   
 4. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280
  Hapana wakubwa hawaugui huo ugonjwa.........ni EPILEPSY :becky:
   
 5. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #5
  Aug 24, 2010
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,504
  Likes Received: 2,744
  Trophy Points: 280
  NAKUBALIANA NAWE 100 %. Hivi kwa nini wamachinga hatuwaoni wakianguka mitaani au wao wamezoea kufunga?? Tukubali tukatae jamaa ni mgonjwa, period!!!
   
 6. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #6
  Aug 24, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mbona tumeshaongelea sana hili jambo...!

  Nafikiri linarudia rudia kwnye mijadala kwa kuwa kuna ukweli unaokwepwa!!

  President is sick, he need to rest and stop forcing his way to the second term in the office...! Aibu atakayoipta aki step down sasa inapimika kwani kwa kiasi kikubwa its just his own pride brought down.... lakini ikilazimika kupitia afya kuwa mbya zaidi hapo baadaye... aibu haitapimika....Ni kubwa na yakitaifa...kwa kuwa..alishauriwa na hakukubali!

  Nikusahihishe... amewahi Kuanguka Kirumba .... wakati hakuwa kwenye kampeni ya Urais.... Hii inaondoa dhana ya kuwa ni mwoga wa Matokeo yasiyoridhisha ya wapiga kura wake.... Haangushwi na psychological or emotional factors ...ni tatizo halisi!!

  Kuupenda ukweli kama ulivyo mara nyingi ni dawa tosha ya magonjwa mengi sugu ..... I wish him all the best!!!
   
Loading...