Kuanguka kwa Demokrasia Tanzania: U-Magufuli na mabadiliko yasiyo na baraka za Watanzania

Anayeangusha demokrasia huyu hapa,acha kupotosha mkuu
tapatalk_1574414219590.jpeg
 
CCM ya siku hizi ni ya wakuja,wale wazawa wametupiliwa mbaliii.kwisha habari yao.ni kina mwita waitara tu na kina shonza ndo wanatamba,wakija january makamba chalii na kibajaji ziii.na bado mtaisoma vizuri..mpaka magu aondoke madarakani chadema yote itakuwa imehamishiwa ccm
 
Acha upuuzi wewe huwezi kufundisha watu kufanya kazi kwa sababu kazi ndio msingi wa maisha na watu wanaishi kwa maana wanafanya kazi. Hizo propaganda zenu za "hapa kazi tu" pelekeni chato huko.
Endeleeni tu na harakati mwisho wa siku msije laumu wanaochapa kazi.
 
Aman iwe nanyi wakuu

Rais wangu, msukuma mwenzangu naomba kuku uliza, kama wewe huna mda wa kujibu bas naomba wana ccm wenzio wakujibie

Iv ngosha ukiruhusu tu wafanye siasa wewe utapungukiwa kitu gan?

Ivi ukiruhusu kila mmoja akukosoe anavyotaka wewe utapungukiwa kitu gan?

Ivi unamjua jamaa mmoja anaitwa kiranga wa jf? Huyu jamaa ni mkosoaji mkubwa sana wa mwenyezi MUNGU lakin MWENYEZI MUNGU hajamfanya chochote na mpaka leo anadunda tu, sasa iweje wewe msukuma mmoja tu hutaki kukosolewa una shida gan aisee?

Ivi ukikemea mauaji na mautekaji yote yanayoendelea nchin utapumgukiwa kitu gan aisee

Kwanini unakuwa na roho ya kinyama namna hiyo?

Haipendezi ndugu

Kama washauli wako wanakudanganya kwamba huku mitaani unapendwa kisa tu unanunua ndege bas unajidanganya, na kama washauri wako wanakwambia kwamba unapendwa sana huku mtaani kisa unajenga maturen ya umeme bas unadanganywa mzee

Huku mtaan wana hasira sana na wewe mzee huo ndo ukweli

Siku ukipita mitaan peke yako watu watakugawana nyama, sikutishi lakin huo ndo ukweli msukuma mwenzangu

Nimemaliza usiponisikiliza mpaka mimi msukuma mwenzako ambaye hata hunijui bas pole yako

Namara unene

Mwabheja gete gete

LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yu!
 
Khiiiiiiiiiii.........!!!
John Joseph Pombe Magufuli.
Ikulu- Chattle.
 
Back
Top Bottom