Kuangamiza panya

Kuangamiza panya

Yani panya waingie kote lkn si kabati la Nguo wanatafuna kidogokidogo kiac kwamba huwez kuivaa tena, ukiweka sumu badilisha chakula kila siku na uangalie sehem wanakoingilia uzibe
Shukrani sana mkuu
 
1. Tafuta paka.

2. Kama ni sumu nunua cheese 🧀, panya na cheese ni kama bata na Bashite. Ukiamka asubuhi ilyobaki safisha utupe mbali kuepuka watoto wasile.

Nunua mitego weka na cheese.
 
1. Tafuta paka.

2. Kama ni sumu nunua cheese 🧀, pants na cheese ni kama bata na Bashite. Ukiamka asubuhi ilyobaki safisha utupe mbali kuepuka watoto wasile.

Nunua mitego weka na cheese.
Ndio niko mbioni kutafuta paka mkuu, shukrani sana kwa ushauri wako wa cheese
 
Asalam aleikum waungwana, jamani naomba msaada wa haraka kwa mwenye uelewa wa kuangamiza hawa wadudu (Panya). Ndani ya wiki mbili imekuwa tishio kwangu, walianza kama utani mmoja mmoja sasa wameingia kila mahali. Tunajitahidi sana usafi wa kila siku na kila mahali lakini wanazidi, msaada jamani. Tumewawekea sumu wakala siku ya kwanza baada ya hapo hawali ng'o!

Najua kuwa na paka ni suluhisho moja wapo, natafuta sana paka kwa mwenye nae pia wakuu.
tumia indocid goms huko ipo hata juzi nimetumia, ila weka kwenye nyanya, ile nyanya kubwa kata vipande vitatu au viwili kile kidonge kifungue nyunizia unga kwenye nyanya sio kati kat pale hali kwenye zile sehemu zenye maji maji atakula tu sababu haina harufu, akila anaanza kuishia nguvu kwenye mifupa andaa shimo watakufa wotw siku 3 nyingi/
nyanya moja tumia vidonge viwili ndio dozi safi, wala huhitaji paka ila ile nyanya weka sehemu isiyo wazi kwa ajili ya usafi na zingatia mjia zao unahitaji nyanya tatu tu
 
tumia indocid goms huko ipo hata juzi nimetumia, ila weka kwenye nyanya, ile nyanya kubwa kata vipande vitatu au viwili kile kidonge kifungue nyunizia unga kwenye nyanya sio kati kat pale hali kwenye zile sehemu zenye maji maji atakula tu sababu haina harufu, akila anaanza kuishia nguvu kwenye mifupa andaa shimo watakufa wotw siku 3 nyingi/
nyanya moja tumia vidonge viwili ndio dozi safi, wala huhitaji paka ila ile nyanya weka sehemu isiyo wazi kwa ajili ya usafi na zingatia mjia zao unahitaji nyanya tatu tu
Shukrani sana mkuu. Goms sehemu gani nitapata hii
 
Shukrani sana mkuu. Goms sehemu gani nitapata hii
Loh kama kweli unahitaji itabidi uje mpaka majohe, niliponunua mimi. Ila Kabla ya kuja nenda maduka ya madawa kwanza utasumbuka ila utapata ukishindwa kabisa, njoo Goms, halafu MAJOHE . Huku majohe kituo kinaitwa CHUO RADA. Yaani kuna Chuo na Rada ya Kuongoza ndege ndio jina limetoka hivyo. Kuna duka la Dawa moja tu hapo chuoRada wewe waulize mafundi pikipiki au bodabodav watakuonyesha, Za buku tu zinatosha ila kwa safari yote hiyo chukua za kutosha. Usafiri umekuwa shida huku sababu ya mvua. Ukifika Goms angalia au uliza njia ya mkato kwenda kituo cha Kampala University kwa ajili ya usafiri wa Dala Dala na bodaboda, Hata Goms pale usafiri upo ila utapoteza muda kusubiri/

Ila kiboko ya panya ni Indocid . Sumu nyingine inabidi unawe sana na kuwa mwangalifu usije ukafa mwenyewe ni hatari. Hi ni dawa ya kawaida kabisa ila kwa panya ni sumu
 
Dawa ya panya ni paka tu tafuta paka awe mdogo aje kukua nyimbani kwa watahama wote bila kupewa notice kwani wanaogopa sana harufu yapaka achilia mbali mlio wa nyauuuu nyauuuu ni moto wa kuotea mbali kwa panya.Kuwawekea simu unajihangaisha mwenyewe tena simu nyingine hazikaushi panya kwa hiyo wanaweza kutoa harufu kali ndani ya nyumba usijue mahali alipo au usiweze kumtoa.Mtego ndio bure kabisa.
 
jamani kwa uzoefu wangu watu wengi uswazi hawapendi paka aonekane mazingira kwasababu mbalimbali atapigwa sana na paka lazima atoke
 
unaifanyaje
unatafta chakula chakuwategea lets say miba ya samaki hiyo indocid iko kama mfumo wa zile dawa amoxylyn uanchofanya unaifungua ule unga wake unamix na hiyo miba yake usiweke kamoja kadawa wawekee kuanzia hata nne
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom