Kuangamiza panya

Kuangamiza panya

Yameanza kula nguo usiku wa leo! Baada ya kukosa kitu jikoni
Kama bakora sita za mkwaju kisha ziweke kwenye mlango wa kabati la nguo, si wamechokoza vita menyewe, wakiziona hizo bakora watahama nyumba usiku huohuo, niwaoga sana wa bakora.
 
Duuh...! Jamii forum bwana ni kama kichaka cha kutatulia matatizo. Mnalia lia hata kwa panya?
 
Ila usishangae we unatafuta dawa ya kuwaangamiza hao panya kumbe nao wanapitia jamiiforums na wanaona mada zinazowajadili namna ya kuwaua
Jokes tu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom